Ama kweli biashara matangazo!!!!!!!!!

Ama kweli biashara matangazo!!!!!!!!!

LILIKUWEPO CHUPI KAMA HILO PALE SOKO LA MWANJELWA LILIANDIKWA HIVI...CHUPI HII IKIKUTOSHA CHUKUA BURE..! lol
 
Hilo kufuli niliwahi kuliona kwenye goli moja maeneo karibu na stendi ya mabasi jijini Arusha.
 
Hiyo niliikuta maeneo ya Arusha katika pitapita zangu za hapa na pale.
Nadhani wameweka kubwa hivyo ili kila mtu akipita aione kwa urahisi.

Nilihisi ipo Chugga coz napafahamu.......maeneo ya stand kubwa kama unaelekea chini ya mti...........
 
Mkuu.@saudari Hiyo Kufuli mbona ni kubwa sana?Wapi hapo ?
JAMANI HII KITU NIMEIONA KWA MACHO YANGU KARIAKOO, Ukiwa upande wa sheli ya total nenda mbele kidogo ingia upande wa kulia kama unaenda shimoni ukiwa upande wa kulia pita mtaa wa kwanza halafu nenda mbele kidogo utakuta mtaa wa pili upande wa kulia kata kona kama unaenda mtaa fulani huwa wanauza sana viatu vya mitumba mezani angalia juu upande wa kulia utaona hiyo kitu na utakuja kuniambia
 
me nimweipende ngoja nije nikainunua kwa ajili ya maandalizi ya ujauzito wangu maana hizi za sasa zinanibana
 
JAMANI HII KITU NIMEIONA KWA MACHO YANGU KARIAKOO, Ukiwa upande wa sheli ya total nenda mbele kidogo ingia upande wa kulia kama unaenda shimoni ukiwa upande wa kulia pita mtaa wa kwanza halafu nenda mbele kidogo utakuta mtaa wa pili upande wa kulia kata kona kama unaenda mtaa fulani huwa wanauza sana viatu vya mitumba mezani angalia juu upande wa kulia utaona hiyo kitu na utakuja kuniambia

Dah! Iyo elekeza yako mkuu Fruit, kama matapeli wa hapa mjini vile!!!!!!
 
Hiyo niliikuta maeneo ya Arusha katika pitapita zangu za hapa na pale.
Nadhani wameweka kubwa hivyo ili kila mtu akipita aione kwa urahisi.

umenikumbusha mbali,niliwahi pita arusha mitaa flani nikaiona hiyo pichu,
 
Hapo ni Arusha Seven Eleven hotel karibu na stendi..

umenikumbusha mbali,niliwahi pita arusha mitaa flani nikaiona hiyo pichu,

Hii iko A town majengo karibu na Bus stand

Nilihisi ipo Chugga coz napafahamu.......maeneo ya stand kubwa kama unaelekea chini ya mti...........

Hilo kufuli niliwahi kuliona kwenye goli moja maeneo karibu na stendi ya mabasi jijini Arusha.

Mpo sawa kabisa, karibuni nyote, bei ni nafuu kabisa.
 
View attachment 80366
Na promo zote hizo halafu msimuungishe, nitaamini kweli na nyie wagumu.

GOOD.jpg
itanitosha??
 
Muache kuharibu mionekano ya maduka au ofisi za watu, kwa kujitengenezea au kubuni mawazo yako. Kwa kuangalia vzuri hyo "nguo ya ndani" ni kwamba imepachikwa tu kutokana na ubunifu wa ku2mia coputer.
Ebu jus imagine, mtu anakuja kwako anapiga picha mlango wa kuingilia nyumbani kwako, kesho unaukuta kwenye mitandao ya kijamii umebandikwa neno CHOO AU ZIZI LA NGURUWE, utajisikiaje.??
Angalizo:
husichopenda kutendewa, kamwe husimtendee mwenzako.

Hili litakuwa duka lako.
 
Sasa mkuu siwezi kupata moja yenye rangi nyekundu si unajua tena mambo ya zawadi kwa wife valentine hii....
 
Back
Top Bottom