Ama kweli akili ni nywele

Ama kweli akili ni nywele

Ndiyo maana wengine wanasema bata anapopata watoto huwa hajui kuwalea maana wanapotembea mama anatangulia mbele halafu watoto nyuma akija mwewe anabeba kirahisi tu,ona hapo sasa kawapeleka mwenyewe kwenye shimo hatimaye kabaki na mtoto mmoja halafu hao wengine hana uwezo wa kuwatoa. Pole sana bata,
 
Naomba usinipe vyeo tafadhali, sisi ni maswahiba
Swahiba hata fedha hupewa vyeo!! $ na Euro utalinganisha na Tsh au kwacha !!
Wewe ni mlezi wetu na haki yako upewe kama profesa...wastahiki.
 
Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????

na wewe usikimbilie kukomenti tu msaidie kwanza kisha utoe lawama
 
Kwa kawaida bata hutanguliza vifaranga mbele, kuku ndiyo mwenye tabia ya kuacha vifaranga nyuma sasa how comes huyo bata akaacha vifaranga nyuma? it might be crazy
 
why-did-the-ducks-cross-the-street.jpg

Nikweli hana nywele anamanyoya tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom