Ama kwa Hakika Watoto ni Taifa la Kesho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,296
217,299
Pichani ni Mtoto mdogo sana akiwa amebebwa na Wazazi wake, kwa wakati ule mtoto huyu hakuwahi kuhisiwa kama atakuja kuwa mtetezi wa kutupwa wa haki za Watu .

Mzee_Kibatala_akiwa_na_mkewe%2C_wakiwa_wamembeba_mwanasheria_nguli_Peter_Kibatala..jpg

Huyu mtoto baadaye amekuja kufahamika kwamba anaitwa Peter Kibatala, Wakili nguli na Homa ya Majaji na mahakimu makanjanja .

Nimeamini kwamba watoto ni taifa la kesho .
 
Umeruhusiwa?

Hata hivyo, Jaji mkubwa anawataka watu wa aina hii watafute kazi nyingine, au hukumuelewa?

Tanzania ina vituko kwelikweli miaka hii.

Sijui maana yako hasa ni nini na hiyo "watoto ni..." Unajuwa hata akina Magufuli nao waliwahi kuwa watoto?
 
Back
Top Bottom