Ama kwa hakika na mlaaniwe wote.

Ama kwa hakika na mlaaniwe wote.

Avatar yako tu, imeshaniweka babaya sasa hii ni dhambi ya nani ? Nimejaribu kugangamala, lakini kazi bure..[emoji847][emoji847]
 
Hizo imani zako peleka huko ....sio kila mtu ni muumini wa hiyo imani yako uliyo nayo. ..so usitake kutulazimisha kuwa na mawazo/matendo sawa
 
Dawa ya nyege ni kuzikemea tu, unajua unatakiwa ujiulize na kujua kuwa mwili wako ni wa thamani kubwa sana, ukiwa mwanamke unatakiwa kujua kabsa kuwa haifai kulala na mwanaume yeyote kabla ya ndoa, na ukiwa ni mwanaume unatakiwa kujua kabsa kuwa hutakiwi kulala na mwanamke kwa namna yeyote ile.
Mimi nakemea hii hali mana bora nikae na sperm zangu tu kuzitoa kwa mwanamke ovyo ovyo ni dhambi kubwa mana huto ni tutoto twangu bora nibaki nato tu. Nikisikia mtu anapga punyeto namshangaa sana,
Mmhh masihara haya. .. achana na kitu kiitwacho genye mkuu
 
Kama umeshagegedwa au umeshagegeda leo siku ya Eid na ulaaniwe sana.
Na kama umeweka appointment ya kugegeda au kugegedwa leo siku ya Eid na wewe pia laani isikukuse huko ulipo.
Hii haijalishi wewe ni mtu wa imani gani na dini gani, kwanini ukagegedwe au ugegede leo siku takatifu?
Laana iwapate wate mtakao unganisha vikojoleo leo. PUMBAVU SANA.
Acha wivu mkuu
 
Taytizo ni kwmab Laana hatoi mwanadamu Mungu ndie mwenye uwezo wa kuhukumu kwa haki
 
Hamna mtu yeyote chini ya jua wakuweza tamka eti ULAANIWE na ukalaaniwa..(HAKUNA NA HAYUPO) acha raia wafurahie maisha..Anaetaka tukagegedane Anyooshe mkono juu.
 
Back
Top Bottom