cynthia, you need to ask yourself a few questions before coming out whinning.Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?
yours Cynthia
I don't think u can't keep them just bcoz u are so hawt,beuty n sexy it is simply bcoz a good man is hard to find and let's say a good one hasn't cross on your world yet
Dada yangu jibu sahihi ni kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia na si urembo. Hao wanaume woote ambao unaona wanakufuatilia huenda baadae ya kukupata na kugundua tabia zako sio nzuri ndo maana wanakupiga chini. Tatizo lenu sana kwa akina dada wazuri huwa na tabia zisizofaa kuwa mke wa mtu. Ss utakuta una tabia za dharau, maringo, majigambo, haina heshima, mtu usieonesha kujali au kuguswa na mwanaume ulienae ktk mahusiano na siku zote kutamani au ww kuwa juu ya mwanaume kwa sauti na maamuzi. Sina maana kuwa ww una tabia zote Hz laa Bali huenda una baadhi ya tabia hz au elements za tabia Hz. Hivyo basi ushauri ni kwamba try one day to ask your xboyfriend what were your goods and bads during ur relation. Nasikia dada zetu wa cku Hz mnasema uzuri town tabia shamba!
mimi naona hawakai na wewe kwa sababu ya tabia yako unasema huwezi kuwa na mwanamme kwa zaidi ya miezi 4,ina maana kwa mwaka unakuwa umebadilisha wanaumme 3 au zaidi,tatizo lako hapo ni umalaya.umalaya wanaumme wanaogopa kama ukoma,ndoa nyingi huvunjika sababu ya kufaminiwa,wengi huwa hawataki suluhi ila kuvunja ndoa.
Hapa hujamwelewa habadilish kwa kupenda anakimbiwa na hajasema akikimbiwa hapo hapo anapata mwingne, kata mti panda mti so usimwite malaya.
hi guys my name is cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, you are a very beautiful and sexy lady but you are not my type. Iam now losing my self esteem. Is this beauty of mine a curse?
Yours cynthia
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?
yours Cynthia
mimi naona hawakai na wewe kwa sababu ya tabia yako unasema huwezi kuwa na mwanamme kwa zaidi ya miezi 4,ina maana kwa mwaka unakuwa umebadilisha wanaumme 3 au zaidi,tatizo lako hapo ni umalaya.umalaya wanaumme wanaogopa kama ukoma,ndoa nyingi huvunjika sababu ya kufaminiwa,wengi huwa hawataki suluhi ila kuvunja ndoa.
yawezekana ni roho fulani imekutawala hebu njoo kwa Yesu maana hutakasa na kuwafanya watu wapya......"hata imekuwa mtu akiwa ndani ya kristo amekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya"ukiendelea hivyo watakuchakaza mpaka basi na kuku zawadia ukimwi hapo ndo utajua nyau siyo mboga, usipoangalia utaishia kupigwa mimba na kuishia kuwa nyumba ndogo.
pia unatakiwa ujue wanaumme wanajua udhaifu wa wanawake ni kumsifia mzuri tu, analegea anamega mkate na kwenda zake anawasimulia jamaa zake.
humo kwenye red ndo matatizo yako..kwamba umeshajijua kwamba wewe ni mzuri na uko vizuri kifedha,,na obvioously unakua na attitude inayo reflect hivyo vipengele..either kwa kujua au kutokujua so what man do u think will want to stay with a woman who has such a mentality,, uzuri hauliwi..bana..wewe design unaringa ringa hivi..amini hivyooo...
Wanawake wenye shule kubwakubwa, mihela mingi mingi na mavyeo makubwa makubwa hii inawahusu saba. Wanadhani madude hayo waliyonayo ndo yanatunza mume... MUME SAIKOLOJIA BANA NA SI MADUDE HAYO NILIYOYATAJA HAPO JUU... Kumbuka cheo au degree yako haifanyi mapenzi na mumeo, ni wewe unayekamilisha jukumu hilo na mengine...degree haitunzi mume