Am totally Finished

Mi nadhani msaidiane kushauriana na Billie mnaweza mkaelewa somo.

Ngoja aje.

Kongosho haya mambo acha tu na yanasumbua sana pale hali inakuwa haieleweki bora uwe umefuma tukio kabisa unaweza ukaamua decision nzuri lakini situation za mauzauza kama hizi zinapasua kichwa haswa ukifanyiwa na mtu unaempenda kwa sana

  • A%20S%2013.gif

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom