Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Ha ha ha, when am in, nakuwa 'so in'
Watu wenyewe ndo hawa hawa, nitamaliza mabucha bure
Mbona ww ulisamehe? :high5:
He he he, anikurupue nini?
Uzuri wangu nikiyavulia maji nguo bana, huwa hakuna 'retreat or surrender'
Ntaweka mpaka mapema, wakakutane shambani sio hapo tutakapokuwa tunaishi, kama ni watoto wao wataelewana waishi wapi, kama wataishi napokaa mie, basi atawasubiri wakati wa likizo, kama wataishi na mama yao, ruksa kuja kwa baba yao likizo. Na wakiishi na mama yao najua suala la matumizi, namweleza mapema awe na account anadeposit asisubiri kuombwa.
Wakiamua kukumbushia wasinioneshe tu.
KUDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADEKI! DARKCITY na we si umeshastaafu sasa mpka sa hizi unakomalia kazi za jeshini ili kiwe nini!mambo iko huku baaaana! BAK update daftar la mateja unless na wewe ushakuwa teja kama konnie hapa na safari zako za peramiho zisofikika !
naona Nicas Mtei kajitolea kufanya usajili wa mateja!
shemeji sajili mwingine huyu!
snowhite mateja yakikutana raha sana tabasamu la nguvu tangu wanapoamka, siku nzima mpaka wanapanda kitandani na wanalala huku wakitabasamu, ni watu ambao saa zote hujawa na furaha kupita kiasi kama Nicas Mtei naye kaamua kufuata nyayo za Arushaone na kuamua kuwa teja basi jina lake limeshaingia kwenye buku la blue. Dada yako FP sijui hata kama anajua kununa saa zote tu amejawa na furaha kupita maelezo kwa hisani ya teja na teja naye ni hivyo hivyo. Wanapendana sana kama kumbi kumbi bibi mbele bwana nyumba lol! Mapenzi raha banaaaa ukibahatika!!!
rafiki umewahi kupendwa/kupenda mpaka unasikia maumivu? mwulize mlongo wangu snowhite[FONT=century gothic [USER=96061]snowhite[/USER] mateja yakikutana raha sana tabasamu la nguvu tangu wanapoamka, siku nzima mpaka wanapanda kitandani na wanalala huku wakitabasamu, ni watu ambao saa zote hujawa na furaha kupita kiasi kama Nicas Mtei naye kaamua kufuata nyayo za Arushaone na kuamua kuwa teja basi jina lake limeshaingia kwenye buku la blue. Dada yako FP sijui hata kama anajua kununa saa zote tu amejawa na furaha kupita maelezo kwa hisani ya teja na teja naye ni hivyo hivyo. Wanapendana sana kama kumbi kumbi bibi mbele bwana nyumba lol! Mapenzi raha banaaaa ukibahatika!!!
[/FONT]
Kwa uandishi huu huwezi kuacha kushangaa.....
Hivi kweli mnakaaga mnajiuliza kama ni fair kumwonjesha mtu hata kama hapandi kichwani??
Babu DC!!
Najua umefurahi sana kwani watu wamekusoma kama ulivyotaka...lol!!
Ila sasa kufurahi ndiyo ticket kutukana watu na kuwashushia heshima yao mbele ya hadhira hii ya MMU?
Tafadhali sana futa usemi wako haraka na uombe radhi...sawa Kongosho??
Cc: snowwhile, BADILI TABIA, watu8
Babu DC!!
Mbona zombie liko romantiki sana
Ntabadili ID lol
rafiki umewahi kupendwa/kupenda mpaka unasikia maumivu? mwulize mlongo wangu snowhite
Mbona zombie liko romantiki sana
Hili sasa ni tangazao la tatu na la mwisho...
What else can we wait for??
Babu DC!1
hapa ni vigelegele tu ndo kilichobakia,lakini babu DC huku kwa zombie umepang'ang'ania sana au umeshachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati loh.
Kuna watu waliniuliza maswali yakaniumiza moyoni
Eti kwa nini zombie aliachana na mkewe wa zamani? Na je hawawezi rudiana?
Walinipa mtihani kwa kweli, maana usiku nilikuwa silali nikiwaza maswali hayo, mwishowe nikaamua kuvunja ukimya na kumuuliza.
Sababu za kuachana: binti alihusudu ushirikina na hakupatana na wakwe zake.
Lini wamemmwagana: Imepita zaidi ya miaka 5
Hawawezi rudiana: Yule wa zamani keshaolewa anatarajia.
cc Dark City, snowhite Nicas Mtei.
Jamani, very soon nitawaomba ndimu hapa, hata kama ya unga
Kuna watu waliniuliza maswali yakaniumiza moyoni
Eti kwa nini zombie aliachana na mkewe wa zamani? Na je hawawezi rudiana?
Walinipa mtihani kwa kweli, maana usiku nilikuwa silali nikiwaza maswali hayo, mwishowe nikaamua kuvunja ukimya na kumuuliza.
Sababu za kuachana: binti alihusudu ushirikina na hakupatana na wakwe zake.
Lini wamemmwagana: Imepita zaidi ya miaka 5
Hawawezi rudiana: Yule wa zamani keshaolewa anatarajia.
cc Dark City, snowhite Nicas Mtei.
Jamani, very soon nitawaomba ndimu hapa, hata kama ya unga:shut-mouth: