Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie


:tape2::tape2::tape2:
 

Nimempenda sana huyo Zombie, he knows which button to press and when to touch it.....

He is heading for the glory...

Babu DC!!
 
je ukimpa yeye akaenda zake na wewe unataka tena?
 
Ha ha ha ha...mpe kidude akibonyeze bana..kwani nini lakini?
Kama inafikia mtu anaku-win wakati mwingine yupo..obvously amekuteka sana..mpe nafasi zombie wewe...
Waingereza wana msemo...if aint broken, dont fix it...kazi kwako...
 
shindwa na ulegee

ila babu nina wakati mgumu.

Nimempenda sana huyi Zombie, he knows which button to press and when to touch it.....

He is heading for the glory...

Babu DC!!
 

Naona jitihada za Zombie zinakaribia kuzaa matunda... Penye BLUE ujue ukimpa tu ndo sawa na ndoa yani. Atajihalalishia tundi. Na hutaweza kumnyima tena.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha...mpe kidude akibonyeze bana..kwani nini lakini?
Kama inafikia mtu anaku-win wakati mwingine yupo..obvously amekuteka sana..mpe nafasi zombie wewe...
Waingereza wana msemo...if aint broken, dont fix it...kazi kwako...


Hahahahahahah, umenivunja mbavu wewe SnowBall,

Kuna mtu nilimsikia anasema kuwa, ..kwani ukimpatia kidude anakinyofoa na kuondoka nacho???

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
am sacared!

Ndo maana natamani nimwonjeshe aende zake, labda kinachomsumbua ni ile 'ilikuwaje akanikataa?'

labda akiona 'kawaida sana' ataridhika aende. Vinginevyo ataendelea kuni-confuse hadi lini?

Kwa uandishi huu huwezi kuacha kushangaa.....


Hivi kweli mnakaaga mnajiuliza kama ni fair kumwonjesha mtu hata kama hapandi kichwani??

Babu DC!!
 
shindwa na ulegee

ila babu nina wakati mgumu.


Nishindwa mie kwani mimi ndiye ZOMBIE??

Wakati mgumu unautaka mwenyewe...changamsha kichwa na utumie akili ya kichwa cha juu...

Kama kutoa, basi toa halafu usubiri matokeo.....ila kama Zombie halipi basi bana!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…