Am tired of this, please help

Majerah anayokupa yana umiza nafsi za watu humu ndani, sasa tanagaza nia humu uone jinsi vijana wetu wanvyojali kazi zao..
Vjana Mpooo???
 
Funguka bana kwani njia mbadala zipo nyingi!! haf hiyo maste..b ndo kitu gani kwa mdada na inafanyika kwa utaratibu upi?
 
Ukizoea ni mbaya sana kwani mwanaume hatoweza kukuridhisha utakuwa unafikiria hayo madude yako tu..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
.unashindwa kuvumilia mtoto wa kike? mbona hatari sana supposed huyo boy wako mmefunga nae ndoa then kwa miezi 6 kaenda mbali na ww kikazi utasema umezoea angalau kwa mwezi mara mbili?

Nilikuwa nasikia tu m/ke SEX MANIAC kumbe ?
 
Sio nzuri hiyo mwambie tu hawezi tafuta mwingine
 
Mchunguze vzuri...ukute ana mtu wake wewe amekuweka kama spare tu..

Dah ina maana unashindwa kuvumilia kabisa?
 
mko kwenye ndoa? Kama sio, mnaishii maeneo ya karibu? Tabia hii imeanza karibuni ama ndivyo ilivyo tangu kuwa wapenz. Umemwambia?
 
dada achana kabisa na hiyo tabia ina weza kukuathili psychological na mwisho utawaona wanaume sio kitu kabisa.pia sehemu zetu wadada ni rain sana sasa unapoingiza au kujisugua na kitu ambacho sio rasmi inaweza kukupelekea ukapata michubuko hivyo kuwa rahisi kupata magonjwa kama fungus.uti na mengineyo. mwisho wa siku uje kuambiwa unanuka.pia hiyo michubuko ikikauka unaweza pata makovu yatakayo sababisha kuziba kwasehemu hizo na kijiletea matatizo.ridhika na hali uliyonayo.kuwabize na kazi zako.shugulisha akili yako na mambo ya maana...mtazamo tuu..
 

very good msg.tunahitaj watu wa namna yako ktk kutoa ushauri!
 

Asante kwa ushauri wako
 
Mungu akupe nguvu uzidi ya kujilinda kwa style hyo japo ni dhambi na atakusamehe kwasababu anaelewa hali unayokumbana nayo..

You are few in millions.

Nawish nipate mwanamke wa aina yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…