Am tired aisee!

Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.
 
Embu nifuate Pm.....Wengine hatupendi kujionyesha ila leo natoa ofa kwako Princess21
 
Last edited by a moderator:

we tafuta pesa kwa jasho lako mambo ya bure acha....
funguka akili masuala ya kutengemea mwanaume yameishapitwa na wakati.
 
Kama za humu unaweza hata za nje utaweza anza kuweka akiba pole pole utafika tu. Sio kila mtu ana nyota ya kupelekwa holiday nchi za watu. Wengine wetu tuna nyota ya kununuliwa maua tena yale ya plastic ya kichina.
 
Daah asilimia 99 ya wanawake wanawaza kama wew sema we umekua open af usijionyeshe sana kwa wanaume kama uko after money sana
 

Watakuja tu kwa kweli
 
Badala ya kutumia ubongo wako vizuri ujikwamue kutoka kwenye umaskini wako, wewe unategemea mwanaume ndo aje ku-finance lifestyle yako.

Wanaume wa ivo wapo ila wachache, maybe uwe na bahati kuja kuwapata, na mara nyingi wanaume hao huja na other serious and humiliating consequences kama HIV/AIDS, wazee etc..

Ukizidisha kupenda vya bure mwishowe watakufumua marinda.

Ni hayo tu Princess21
 
Last edited by a moderator:

Nenda kwa kingunge ngombare mwiru
 
Muulize mamaako alimpendea nini babaako lofa hadi leo unawatukanisha hivi!
Pesa haina sura ya mtu!
Nyambaff!
 
You don?t need money or power or any other advantage to get by in this world; love is
all you need.

Love wont get food to the table or give you shelter, money is still needed bigtime. Acheni kujifariji you need money and love tena msivitenganishe kamweee!!
 
we tafuta pesa kwa jasho lako mambo ya bure acha....
funguka akili masuala ya kutengemea mwanaume yameishapitwa na wakati.

Yaani hiyo kauli akiiongea mwanaume napata ukakasiiiii bora aiongee mwanamke aisee, daaaah kazi ipo.
 
Asa ukimtafuta kwa matangazo hivi ndio utampata au? We komaa na jiji tu watakuja wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…