kwani wewe ulishawahi kuwa temped na mduara? we mtu wa pwani eeehhh!! unabonyeeee............ kizenj..................
Hebu elezea... 'KAMMEZAJE'...???Kiinglishi chako kizuri kama umemmeza mzungu vile
Mmmh we chotara nawe,sakapal...................hizo ndio zangu na hii mid-life crisis yangu utaacha nivae KATA-K na oversize t shirt bure halafu watu wasema huyu mzee vipi ...................wish i could though.
venyu ingia pm pls si kila mtu atapenda kujua ni wapi na saa ngapi.
Mduara ndio raha ya mjini...ushawahi kucheza wimbo wa "Majanga" au "Kinyaunyau" weye?
Hatua mbili mbele, moja nyuma...bi mkumbwa akuachia zigo huku nyonga yazungushwa kama pia...
hahaha...mie nilijua hizo info utazituma huko PM
halafu kutakuwa na intavyuu...maana kama ukipata wadau wengi utariheso na yupi na utamwacha yupi?
so watabakia wachache tuu wakuja kudance kama 3 hv,
nini tena, karibu riheso jamani
loooh daily??? haya uko temped na nini?
sijambo na wewe?
unafikiri unavozika wa kwako ndo kila mtu, holla wangu yuko palepale, hapewi mtu nafasi full soulmating
anyways, karibu riheso looh!!
katika hao wa3 ndo atabakia mmoja baada ya kudance na kila mmoja na kuona yupi anaendana na midundo
na hizo rehearsal lol