Am stressed

Lenyewe umeliwekea ulinzi mkali ila hilohilo ndio litakaloulegeza huo ulinzi mkali mpaka kuwa ulinzi hafiffu ama legelege!.. πŸ˜…
 
Kama unakunywa bia njoo pm kupe location
Haha! jf sikuhizi watu wamekuwa wakidai location tu!.. mkuu wacha kutumia akili mnemba! kama umeamua kula gambe we litafune tu ila kumbuka usipoteze kumbukumbu hayo mambo yanahitaji kiasi na nidhamu yakutosha!
 
πŸ‘‰πŸš«
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…