Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Dec 19, 2009 #81 PakaJimmy said: Who is this fella marrying guys? Is it a silent matter, or we r free to contribute? Click to expand... Karibu sana kwa mchango wako mkuu huyo huyo ndo mwenye shughuli hiyo iliyopo usoni petu.
PakaJimmy said: Who is this fella marrying guys? Is it a silent matter, or we r free to contribute? Click to expand... Karibu sana kwa mchango wako mkuu huyo huyo ndo mwenye shughuli hiyo iliyopo usoni petu.
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Dec 19, 2009 #82 PakaJimmy said: Who is this fella marrying guys? Is it a silent matter, or we r free to contribute? Click to expand... PM ME YOUR NO.nitakupigia shortly! mimi ndiye
PakaJimmy said: Who is this fella marrying guys? Is it a silent matter, or we r free to contribute? Click to expand... PM ME YOUR NO.nitakupigia shortly! mimi ndiye
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Dec 19, 2009 #83 Nyamayao said: ndio nina mpango wa kuja dar nimtafute kwa cri tuzitumbue na tusker...... Click to expand... Ohooo Mpwa geoff umeona mambo hayo? lakini mimi NIPO, nitahakikisha halitokei hilo!
Nyamayao said: ndio nina mpango wa kuja dar nimtafute kwa cri tuzitumbue na tusker...... Click to expand... Ohooo Mpwa geoff umeona mambo hayo? lakini mimi NIPO, nitahakikisha halitokei hilo!
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Dec 19, 2009 #84 Kaizer said: Ohooo Mpwa geoff umeona mambo hayo? lakini mimi NIPO, nitahakikisha halitokei hilo! Click to expand... umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi?
Kaizer said: Ohooo Mpwa geoff umeona mambo hayo? lakini mimi NIPO, nitahakikisha halitokei hilo! Click to expand... umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi?
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Dec 19, 2009 #85 Geoff said: umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi? Click to expand... Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo!
Geoff said: umekamata senksi kwa kunihakikishia usalama wa michango!kikao saa ngapi? Click to expand... Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo!
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,065 Dec 19, 2009 #86 Kaizer said: Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo! Click to expand... hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake
Kaizer said: Tufanye kuanzia saa kumi nadhani....hivi Vivian yuko wapi manake yeye ndiye anayesababisha haya mambo! Click to expand... hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Dec 19, 2009 #87 Geoff said: hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake Click to expand... hehehe haya bwana....
Geoff said: hehehe!wapwa smtmz wanahitaji ujasiri sana!haina mbaya.jaribu kuongea na x-pin akupe namba zake Click to expand... hehehe haya bwana....
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 132 Dec 19, 2009 #88 nina siku ya tatu leo hata msosi hauendi vizuri, maana marehemu ninawafahamu hadi kwao, ni kijiji nilichokulia, am speechless too.
nina siku ya tatu leo hata msosi hauendi vizuri, maana marehemu ninawafahamu hadi kwao, ni kijiji nilichokulia, am speechless too.
Regia Mtema R I P Joined Nov 21, 2009 Posts 2,970 Reaction score 871 Dec 20, 2009 #89 Jamani.poleni sana.Kazi ya MUNGU haina makosa