hahahaaaa mule mule mkuu!!!!!Jitahdi usiolewa hapo ndo zako ztabak kuwa zako,ila kama unategemea kuolewa humu bongo kwa tabia hyo ya chako chako,changu chetu,kaz unayo,atakayekuoa talaka ikae mfuku wa nyuma kama red card,kwan hapo itatoka mda c mrefu.
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
mmmh nahisi ni mimi manake kuna demu mmoja hapa chuo nilimkopa laki2 wiki mbili zilizopita ni mwana jf
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
hapana mimi c mpalestina,ila nikimpa tu pesa heshima yangu kwake itatoweka nitamdharau sitaki hlo litokee thats y nikamnyima
mwanaume aplay role yake as a man na women waplay role zao,mbona huwa hamuwasaidii wake zenu kufua ama kupika,ila mwataka jukumu lenu msaidiwe na wanawake,nope i wil never do that
U are very right Nikiwe, nashikana bega na ww, ucthubutu kabisaa kumpa pesa hata akija anatembea na magoti!!!! juzi juzi tu hapa mwenzio nimetoka kulizwa, jamaa akaamua kukata kabisa mawacliano......uuuuh!! Sitokaa nimpe pesa yangu mwanaume!
wanaume wa siju hizi jwa kupiga mizinga ...... Heri hujampa
duh pole sana,ila inabidi ubadilishe mfumo wa maisha otherwise binadamu kusaidiana.
Leo nimekupenda bure....
binadamu lazma wasaidiane, ndivyo maisha yanavyoenda.
my money is mine n no man wil ever touch ma money