Am single again

Am single again

Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kiwa its done
N:B sina kosa ila ni ujobles na kibunda hakisomi kila siku kuna mishe nasikilizia na nikweli kuna mishe naisikilizia hui mwaka haupiti ila amechoka kuvumilia na mimi nimekubali nitafanyaje sasa[emoji2357]

NAKARIBISHA POLE ZENU WAKUU
Aaah Acha aende mkuu, kuna pisi kali kichizi mpya nyingi street[emoji28]
 
Baada ya kipindi kirefu leo nimechanwa makavu kiwa its done
N:B sina kosa ila ni ujobles na kibunda hakisomi kila siku kuna mishe nasikilizia na nikweli kuna mishe naisikilizia hui mwaka haupiti ila amechoka kuvumilia na mimi nimekubali nitafanyaje sasa[emoji2357]

NAKARIBISHA POLE ZENU WAKUU
Sasa hapo pole ya nini wakati umetua mzigo?

Hapo ni mwendo wa hongera ya kutoka kifungoni tu.
 
Ila mapenzi chuo, wakti mnapigana mabusu kila mahali,mlikuwa mnatutambia kama mnakunyaga keki,Leo unakuja Lia Lia humu,kila mtu afe na msala wake
 
Back
Top Bottom