am sick with ths vodacom modem.

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
ndugu.
just last week i purchased this voda zte modem. at everytime am installn it and try to open it by clickn that desktop icon, the stupid thng does nt open. i called the col centre like 9 times bt none can solve the prob. then i went over to vodashop victoria, wakanambia niende mlimani ct. they tried bt the idiotic white coloured thng ddnt work. b4 i have tried exchanging like 4 pcs. bt every1 wth the same report. wakaniwekea dial up connection ikawa poa bt wen i got hme, it was the same drama. jamani help me, hawa voda they have no use to me tena, they cnt solve the proa they are makn.
 
Kama network ipo tumia 3G Join Air,achana na application yao huwa inasumbua sana. Kama unayo Join Air unaweza kuweka line yoyote na ukafurahia.Mie natumia line ya airtel kwenye modem ya voda kwa Join Air. Lakn kumbuka ku unistall ile software ya voda,then ukiweka line ya mtandao mwingine wakati wa kutumia joan air hakikisha ile software ya voda huinstall,ikianza tu unaicancell. Tafuta join air acha kuhangaika na maduka ya voda kila wakati watakuzingua tu. Join air watu wengi tu wanayo wanaweza kukuuzia au ukapata bure.
 
Mi nimeshindwa kutumia hako kamodem kao kwene mashine yangu ya MAC kwa sababu ya App yao ni hopeless.
 
ok thanx wandugu. pls tel me more abt join air. wapi naweza kui downlod?
 
Kudownload unaweza pata lakini utahangaika.Chukua flash yako au CD uingie mtaani kwa washkaji wakupatie halaf uende ukainstall mwenyewe. Ukiipata utafurahia we mwenyewe. Kumbuka ukishaipa 3G Joain Air tutaarif wadau.
 
ok thanx a lot ndugu. dah! sasa cjui nianzie wapi!! ok, kuna mwanangu ifm anapiga mambo za it. once i get then i will update
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom