Am serching for a job in a school but not as a teacher

pretty good

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
36
Reaction score
26
Hello!
I am a female postgraduate student and a freelancer interested in academics. I am in need of an administative job in private school.
 
Your not a teacher utawezaje kufundisha wakati sio professional yako?Hata utawala ktk shule ni lazima uwe umesoma Education Adminstration and management komaa labda utapata maana wengi Mwaona ualimu ni sehemu ya kukimbilia pale mnapokosa kazi zingine.
 
Mbona heading ya mtoa mada na content viko wazi kabisa?
Yaani kwa mtazamo wako watumishi wote wa shule binafsi ni teachers by professional!!?
Mfano HR,Accounts, Logistics,ICT,Marketing,etc kumbuka kasema private schools so panua mtazamo beyond teaching mkuu.
 
1/4 mkuu
 
Mmmh nadhani ni uelewa wa mambo hususani exposure ndogo kwenye industry husika, yaani unaweza kuta yeye ni mwalimu huko Tanzania ndani ndani ambapo walimu wawili tena shule ya kata wanamanage shule nzima.So siyo rahisi kwa mdau kama huyo kuielewa post yako.Ingawa kucomment bila kuwa na uelewa halisi wa jambo husika siyo vizuri.
 
jitahdi kufanya application hasa kwenye shule kubwa naamin utapata.watu wamekalili kuwa kila anafanya kazi shule ni mwl.pia hujasema kama una experiences yote
 
Back
Top Bottom