Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Subiri hapohapo wanakujaAjitokeze mtoto wa mtu nimpendeeeee...mpka nimpende tena
Subiri hapohapo wanakujaAjitokeze mtoto wa mtu nimpendeeeee...mpka nimpende tena
Mpe namba za mudi ili wapendane.Subiri hapohapo wanakuja
Wewe sasa🤣🤣🤣Mpe namba za mudi ili wapendane.
Pale mudi anapoombwa hela ya kununua nguo halafu anasema vaa barakoa, utamuweza?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unichagulie la kuumana utamuoa wewe sitaki mke mrefu Kama jini kabula! Mwanamke mwenye hela anadharau sana! Awe nazo za wastani tu nitafutie kipotabo akicheka anamwanya urefu size ya Kati jicho kama lenzi inataka kuanguka!.. asiwe mweusi Sanaa au mweupe Sana just awe kawaida ila ngozi soft. 😉Sasa wewe dawa yako ni kukutafutia shemeji mrefu,mwenye fweza,rangi nyeupe ingia toka(Yani si mweupe wala mweusi) nikuzibe mdomo huo🤪🤪
niko siriazi basi...basi tu kuchangamsha genge.Subiri hapohapo wanakuja
Mudi ana mabalaa sio ya nchi hii. We acha tu.Pale mudi anapoombwa hela ya kununua nguo halafu anasema vaa barakoa, utamuweza?
I know, JF is stress free zone, ila Mudi amenifanya nicheke sanaUnafikiri
niko siriazi basi...basi tu kuchangamsha genge.
Pelekeni milembe basii😅😅😅Mudi ana mabalaa sio ya nchi hii. We acha tu.View attachment 1819796
Haya chukua udongo wa mfinyanzi hapo chap kwa haraka umuumbe wakoUnichagulie la kuumana utamuoa wewe sitaki mke mrefu Kama jini kabula! Mwanamke mwenye hela anadharau sana! Awe nazo za wastani tu nitafutie kipotabo akicheka anamwanya urefu size ya Kati jicho kama lenzi inataka kuanguka!.. asiwe mweusi Sanaa au mweupe Sana just awe kawaida ila ngozi soft. 😉
Naweza mnasa konzi takatifu akajikuta njia panda na barakoa yake 🤣🧚♀️Pale mudi anapoombwa hela ya kununua nguo halafu anasema vaa barakoa, utamuweza?
Usichokijua ninacho chombo moja matata toka humuhumu home of great thinker..😉😊Haya chukua udongo wa mfinyanzi hapo chap kwa haraka umuumbe wako
Kuna linjemba limeingia pm namzoom tu na hata sitojibu pm yake hasilani abadaniI know, JF is stress free zone, ila Mudi amenifanya nicheke sana
Usichokijua ni kwamba una shemeji mmoja matata sana kutoka katika ulimwengu wa rohoUsichokijua ninacho chombo moja matata toka humuhumu home of great thinker..😉😊
🤣🤣🤣 bora ufunge pm, la sivyo watamiminika muda si mrefuKuna linjemba limeingia pm namzoom tu na hata sitojibu pm yake hasilani abadani
Acha roho mbaya.Kuna linjemba limeingia pm namzoom tu na hata sitojibu pm yake hasilani abadani
Mahabuba, Mpenz, La Aziz,
My Love, My Heartbeat, My Handsome,
My Best Best Friend, My Soulmate,
My Man, My King, My One and Only...
My Pumpkin, My Darling, My Breath...
Most of All, My smile....
You know what, these are sweet nothing words from me to you.
With you I find peace, natural joy, happiness, love and laughter,
I fell free, I share my jokes and enjoy yours...
The Moments I had with you are stamped in my heart ❣.
I adores you, I love you and I will always Love you.
I am feeling good tonight
This thing called Love, gat me thanking God for meeting and know you in my life.
I can’t explain..... my feelings are expressed by my smile 😊.
I can’t explain eh yeah....
Oujuelegba, My Legendary Lover.
Dadii 🥰🥰😘.
Si ndo mzimu huo..🤣Usichokijua ni kwamba una shemeji mmoja matata sana kutoka katika ulimwengu wa roho