Am Obsessed With Your Love

Wewe kaka mkubwa litakukuta jambo ujue🤣🤣🤣
Chaajabu utaleta jitu nalolishinda uhandsome! Na unajua Kaka yako nashika namba za mwisho kwenye u handsome.. mizimu ikusaidie ili uselect mzimu mzuri Kati ya mizimu..🤣
 
Chaajabu utaleta jitu nalolishinda uhandsome! Na unajua Kaka yako nashika namba za mwisho kwenye u handsome.. mizimu ikusaidie ili uselect mzimu mzuri Kati ya mizimu..🤣
Nakuletea kitu cheusi kimepanda kwa hewa sana
 
Nakuletea kitu cheusi kimepanda kwa hewa sana
Kwani umeanza leo! Kwani Lile zimwi la Mara ya kwanza mlishindwana nini maana huyu mpya atakuwa wa kumi na mbili Kama sio kumi na tatu! Anyway nisikuvunje moyo labda hii ndo bahati yako wacha mi nijinywee safari lager ikanisafirishe kwa yule mpangaji mpya mwenye utako lililonona na jicho la sumaki hips na lips Kama urojo toka pwani!. 😅
 
Ungekuwa unampenda Mola Maulana hivi, japo robo ya hii, I guess malaika wangekuwa wanashort list jina lako deile kule peponi ili uhamishiwe Paradise hata kwa unyakuo mahususi. Anyways, just keep smiling, but remember your Creator :)

NB: Haka ka memo hakahusiani na wivu :)

Aameeen!!!

Aahahahahahaaa wivu mtamuuu...
 
Mahabuba, Mpenz, La Aziz,

My Love, My Heartbeat, My Handsome,
My Best Best Friend, My Soulmate,
My Man, My King, My One and Only...
My Pumpkin, My Darling, My Breath...

Most of All, My smile....

You know what, these are sweet nothing words from me to you.

With you I find peace, natural joy, happiness, love and laughter,
I fell free, I share my jokes and enjoy yours...
The Moments I had with you are stamped in my heart ❣.

I adores you, I love you and I will always Love you.

I am feeling good tonight
This thing called Love, gat me thanking God for meeting and know you in my life.
I can’t explain..... my feelings are expressed by my smile 😊.
I can’t explain eh yeah....

Oujuelegba, My Legendary Lover.

Dadii 🥰🥰😘.
Umenikumbusha mbali sana
Screenshot_20210527-232206~2.png
 
Tangu mapenzi yanizingue nishakuwa muimba kwaya tu kanisani bora niende ata mbinguni kuliko vitu za ujinga hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom