Am Obsessed With Your Love

Sasa wewe dawa yako ni kukutafutia shemeji mrefu,mwenye fweza,rangi nyeupe ingia toka(Yani si mweupe wala mweusi) nikuzibe mdomo huo🤪🤪
Unichagulie la kuumana utamuoa wewe sitaki mke mrefu Kama jini kabula! Mwanamke mwenye hela anadharau sana! Awe nazo za wastani tu nitafutie kipotabo akicheka anamwanya urefu size ya Kati jicho kama lenzi inataka kuanguka!.. asiwe mweusi Sanaa au mweupe Sana just awe kawaida ila ngozi soft. 😉
 
Pale mudi anapoombwa hela ya kununua nguo halafu anasema vaa barakoa, utamuweza?
Mudi ana mabalaa sio ya nchi hii. We acha tu.
20210615_222331.jpg
 
Unichagulie la kuumana utamuoa wewe sitaki mke mrefu Kama jini kabula! Mwanamke mwenye hela anadharau sana! Awe nazo za wastani tu nitafutie kipotabo akicheka anamwanya urefu size ya Kati jicho kama lenzi inataka kuanguka!.. asiwe mweusi Sanaa au mweupe Sana just awe kawaida ila ngozi soft. 😉
Haya chukua udongo wa mfinyanzi hapo chap kwa haraka umuumbe wako
 
Mahabuba, Mpenz, La Aziz,

My Love, My Heartbeat, My Handsome,
My Best Best Friend, My Soulmate,
My Man, My King, My One and Only...
My Pumpkin, My Darling, My Breath...

Most of All, My smile....

You know what, these are sweet nothing words from me to you.

With you I find peace, natural joy, happiness, love and laughter,
I fell free, I share my jokes and enjoy yours...
The Moments I had with you are stamped in my heart ❣.

I adores you, I love you and I will always Love you.

I am feeling good tonight
This thing called Love, gat me thanking God for meeting and know you in my life.
I can’t explain..... my feelings are expressed by my smile 😊.
I can’t explain eh yeah....

Oujuelegba, My Legendary Lover.

Dadii 🥰🥰😘.


Ungekuwa unampenda Mola Maulana hivi, japo robo ya hii, I guess malaika wangekuwa wanashort list jina lako deile kule peponi ili uhamishiwe Paradise hata kwa unyakuo mahususi. Anyways, just keep smiling, but remember your Creator :)

NB: Haka ka memo hakahusiani na wivu :)
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom