Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
- Thread starter
-
- #41
Heheheeee ngoja nile kabisa.
Ila nakuja na juice ya passion hope lazma utasahai kutoa za uso
Thanks Kipipi
Mi nimekuwa na furaha muda wote...!
Kuhusu kupona utapona soon.
Hope leo uko nafuu eeeh
Nakasubiria
Hahahaaa ngoja nije kwanza hapo.Tahadhali tu, tusijeanzishiana nyuzi humu ndani! lol
Hilo analijua shem tena mwambie sana tu siunajua mi na Amyner mi km wewe na watu wako.No more.
hapo ndo unampoteza kabisaaa
Sorry!
Nilitaka tu na ye aone . . .hope anayajua mengi zaidi!
hapo ndo unampoteza kabisaaa
Mwache akitaka aje aseme mwenyewe ili nimgee za uso!
mimi na watu wangu gani? Lol! Shem leo umeniamuliaje!
za uso tena! Khaa! Vibaya hivyo kiperemende
Msalimie mama v, nawatakia jumapili njema yenye amani!
Heeheeeee potezea basi shem