Hahahaaaa ila enzi zile ilikuwa bomba eeehkhaaa! Shem mbona una utani unaofanana na ukweli! Lol!
Namsubiri klorokwini wangu arudi nijirudishe kwake, wengine wote nimetupa kuleee!
Hebu twende tukale kwanza then tukirudi hope hali itakuwa iko safi.Huu upepo niloamka nao hata mi mwenyewe siuelewi elewi.
Bado nazidi kutafakari!
Huu upepo niloamka nao hata mi mwenyewe siuelewi elewi.
Bado nazidi kutafakari!
Heheheee kweli aisee yan watu wengine wamepotea tumebaki na sura mpya kibao lolilikuwa bomba sana erick! Yaani full maraha na maburudani. Lol!
Natamani nistopishe mishale ya saa.
Hahahaaa sawa mama Mchungaji lol
Anyway jambo la msingi ni kusamehe tu tena usiwe unalala na kinyongo na mtu hata kama hujamwambia kuwa umemsamehe ila moyoni mwako samehe na usahau itakusaidia Kipipi .
Ni kweli ila inawezekana kuna mtu kakukwaza pia.Heheh point of correction . . . . mie ni kakondoo ka mama Mchungaji (I miss Lizzy to the maximum!)
Erickb52 ni ngumu sana mie kubaki na kinyongo, na kama kweli kuna kitu cha hivyo basi Mwenyezi Mungu anisaidie jamani . . . .I don't wish kabisa. Ndo maana najiuliza pia labda kuna mtu ananung'unika juu yangu, huwezi jua we are fresh & blood my dear, tunaongea mengi na tunatenda mengi!
Heheheee kweli aisee yan watu wengine wamepotea tumebaki na sura mpya kibao lol
Hebu twende tukale kwanza then tukirudi hope hali itakuwa iko safi.
Leo pata Ugali kwa nyama ya ng'ombe ya mchuzi,Spinachi na matunda.
Then shushia Red Bull mwili wako utachangamka love!
Mi ntahakikisha hakuna anayekupa stress kwa leo
Wote watakaokuja na mikelele yao natakuwa natupilia kulee faster
nimwambie kama unampenda? Au hilo utamwambia mwenyewe?
nimwambie kama unampenda? Au hilo utamwambia mwenyewe?
Ntakuongezea kawimbo kamoja ka ukweli ili upone lolHahah badilisha menyu basi! lol
Alafu leo sitegemei kupata stress, nimejifungia ndani kwangu na sitoki mpaka jioni.
Nasikiliza nyimbo tu.
Hilo analijua shem tena mwambie sana tu siunajua mi na Amyner mi km wewe na watu wako.No more.
Mwache akitaka aje aseme mwenyewe ili nimgee za uso!
Ntakuongezea kawimbo kamoja ka ukweli ili upone lol
Kanetwork kamekata ila ntakupa ukasikilize badae