Am looking for a serious and smart man!

Am looking for a serious and smart man!

Donjama

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
215
Reaction score
93
Habari zenu wanajamvi!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mwanamke wa miaka 26 sasa...natafuta mwenye sofa zifuatazo.
.Mcha Mungu, yaani mwenye hofu ya Mungu, awe mkristo tu.( esp SDA)..sio lazima awe dini hiyo ila mwenye dini hiyo atapewa kipaumbele zaidi.
.Awe mrefu kiasi...sio sana. Ila asiwe mfupi Sana.
.Awe na umri wa miaka kuanzia 27 - 29.
.Awe anafanya kazi serikalini au ktk kampuni yoyote hapa Dar es salaam..( mi naishi Dar kwa sasa..that's why nasema awe mkazi wa hapa Dar).Naomba nisisitize hapa, awe anafanya kazi. Kama huna kazi...am sorry.
.Elimu awe degree, masters na kuendelea.
.Awe mkweli, muaminifu, mkarimu, mpenda watu , asie na majivuno, dharau,kiburi, mcheshi na mwenye heshima.
.Akiwa msukuma au mnyamwezi atapewa kipaumbele zaidi. Wakurya, wahaya...HAPANA.
.Sifa zingine tutaendelea zaidi kuelezana!

Sifa zangu;
.Heshima, mpole, mcheshi,mkweli, muaminifu muungwana, mnyenyekevu, mpenda watu, na mcha Mungu.
.Mnene kiasi,mweupe.
.Elimu yangu degree+ post
.Umri miaka 26

Naomba msamaha kwa wale watakaokwazika kwa post yangu...maana binadamu tunatofautiana, hatuko sawa kiuelewa. Kuandika vipaumbele vya dini na makabila hakumaanishi mimi ni mbaguzi....ila nimeamua kua mkweli na honest kuliko kujivika uongo usiokua na sababu. Hivyo mtanisamehe bure.
Na ukiona post haikufai...pita kimya kimya...ni kwa walio serious tu. Sipendi matusi wala kejeli. By the way hata ukitukana na kukejeli..Nishakusamehe tayari, maana mi mwenyewe nimeshasamehewa mengi tu.
Please kwa mwenye sifa hizo naomba ani PM.

Natanguliza Shukrani.
Jumamosi njema.
 
Mkuu eeeh,wahaya na wakurya wana shida gani kwani,na mm ningependa kujua tu,usiniambia huwataki basi tu,lazima utakuwa na sababu ya msingi inayokufanya usiwatake,niambie tafadhali
 
Hapo nimekosa sifa moja tu, ya kazi
 
Hivi smart utampataje huku mitandaoni smart wote wanajua nini wanataka na wanakitafuta huko huko,
 
Hivi umewahi kuniona nini!, yaani nimekidhi vigezo vyote. Alafu nikagoma kufanya kazi dar kwa7 ya mshahara mdogo pia ckuwa na mwenyeji ila npo mkoani private Co. Ltd, hebu lete namba yako tuongee usukuma wetu. Njoo na mm nikuthaminishe km utanifaa, kuhusu kuja dar nina uwezo wa kupata kaz ndan ya wiki japo itakuwa na malipo madogo.
 
Mi niko Rwanda now,ila ntakuja Dar mwezi wa 10
 
Hivi umewahi kuniona nini!, yaani nimekidhi vigezo vyote. Alafu nikagoma kufanya kazi dar kwa7 ya mshahara mdogo pia ckuwa na mwenyeji ila npo mkoani private Co. Ltd, hebu lete namba yako tuongee usukuma wetu. Njoo na mm nikuthaminishe km utanifaa, kuhusu kuja dar nina uwezo wa kupata kaz ndan ya wiki japo itakuwa na malipo madogo.

Duuh...usijali. Ntakucheki
 
Hivi smart utampataje huku mitandaoni smart wote wanajua nini wanataka na wanakitafuta huko huko,

Umeshasema hao unaowajua ww! Mi ni mmojawapo usienijua.

Thanks kwa comment lakini.
 
Hivi umewahi kuniona nini!, yaani nimekidhi vigezo vyote. Alafu nikagoma kufanya kazi dar kwa7 ya mshahara mdogo pia ckuwa na mwenyeji ila npo mkoani private Co. Ltd, hebu lete namba yako tuongee usukuma wetu. Njoo na mm nikuthaminishe km utanifaa, kuhusu kuja dar nina uwezo wa kupata kaz ndan ya wiki japo itakuwa na malipo madogo.

Wewe sio msukuma wala mnyamwezi we we no mnyakyusa wa Masoko hakuhitaji
 
Mkuu eeeh,wahaya na wakurya wana shida gani kwani,na mm ningependa kujua tu,usiniambia huwataki basi tu,lazima utakuwa na sababu ya msingi inayokufanya usiwatake,niambie tafadhali

Hawana mbaya! Ila mm sio priority kwangu!
 
Nimependa hapo uliposema wewe ni mkweli na honest teh teh. ALL THE BEST
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom