Kutokana na sifa zako inaelekea wewe ni SDA, anyway kila la heri hapa ila nakua na mashaka sana na sifa zako ulizojipa, nasema uliyonipa coz naamini kama wew ni SDA na umekamilika na hizo sifa usingekua na haja ya kujitengaza, hivi kweli huko kwenye semina za SDA, makambi, seminars za vijana, wiki za maombi na makanisa yote ya hapa dar na mikoani na hata mtaani kwako umekosa? Nimezungumza zaidi SDA coz umeweka kwenye mashart yako, labda nikaweke wake wazi kama utachukia poa tu ila nitakachosema kama wewe ni SDA utakishuhudia, katika maisha yangu mpaka nimekulia kwenye SDA na nimesoma shule za SDA, labda chuo tu ila chuo tulikua na kundi la THISDASO, KAMA WEWE UNASIFA ULIZIJIPATIA na una hofu ya Mungu na umekua kwenye maadili ya kisabato na kuyazingatia nahisi sasa hivi ungekua ndani ya ndoa na watoto wako swafii.. Yani mabinti wote wa SDA na waliojitunza ambao nawajua wana hizo sifa ulizoziweka na ambao ni wife material wao ndo wanachagua nani wa kuwa mume..kibaya ni kwamba wanaume wa SDA tunawajua sana kama hujatulia mama utakaa sana na sifa zako zinajulikana, kumbuka bibilia inasema katika Ayubu "katika uzee wangu sijamuona mwenye haki akiachwa" na sio katika SDA tu katika makanisa yote kizuri hakikai kibaya chajitembeza..