Am intended to design a controller to control an electric circuit with generator, motor and two batteries

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,691
2,000
Am intended to design a simple controller to control an electric circuit with a generator, a motor and two batteries. The circuit has to work as follows, At any instant one battery is driving the motor the other must be connected to generator so as to be charged. After a certain voltage drop to one battery, the controller must reverse the operation such that the battery which is driving the motor will be connected to generator while that which was being charged must be connected to motor so as to continue the operation of the motor. I was thinking of a low voltage cut off circuit with a zen-er diode. How can I achieve this ?
 
Eng Saimon

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
353
500
Am very interested with such intervention... I will be sitting forward to listen to experts builds...
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
8,470
2,000
kabla hujaenda mbali
naona hujazigatia parameter kuu , 'power' ambayo itakua ina 'flow' katika uo mzunguko wote, motor>genereta>bettry>motor bila kusahau 'load' ambaye ni mtumiaji mahsusi wa iyo 'power'

ukianza huu mfumo kutakua na battery ambayo imechajiwa 'ina power tayari'
huoni baada ya mizunguko kadhaa, power katika mfumo itakua sifuri
na kila kitu kitasimama, idea yako inataka fanana na 'ward leonard' ivi

maana kwa kila 'link' kuna 'power loss', mwsiho wa siku power inasoma sifuri.
 
Mkuu, kwa maelezo yako naona kama kuna sehemu umemisconcept. am using 2 batteries not a single battery and hizo two battery hazifanyi kazi simultaneous. wakati moja inadrive motor nyingine inatakiwa kuwa idle. lengo ni kucharge battery ambayo iko idle na siyo ile inayokuwa inatumika. i undertand kwamba powerloss itakuwepo lakini lengo langu mm ni kuipunguza tofauti na kama nitakuwa na single battery ambayo ndiyo hiyohiyo naitumia.
 
huwezi create energy out of nothing. apo utaenda mwisho wa siku utarudi na kutaka boost mambo kwa umeme wa tenesco (external power)

iyo project yako haiwezi jiendesha na power yake yenyewe(internal) milele, itaisha ndani ya mda mfupi tu.
iyo ni sawa na mwenye solar panel inalisha taa, alaf akachukua taa ileile na kumulika solar panel, amna kinachofanyika apo
 
Mkuu mm naona kama bado kuna kitu hujanielewa, hasa nikiangalia mfano ambao umeutoa hapo. Ulichotolea mfano hapo ni quite different from kitu ambacho mm ninaintend to design. Try kuyasoma maelezo yangu vizuri katika post yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom