You Got me wrong BAK....
How could I....
Umenifanya niukumbuke huu wimbo....
Mara ya kwanza huu wimbo ndo umetoka, kuna jamaa akanidediketia, nikaelewa kuwa ananimwaga na hatuwezi kuwa tena marafiki
Nilimmind maana tulikuwa lovers huko nyuma tukapotezana. Tukaja kuonana baadae sana, tukaanza urafiki tuu ndo akanitumia huu wimbo, kumbe yeye alikuwa ameanza kurudisha hisia.
Nikachuna mwezi mzima kuja kuonana nae ananielewesha nilichekaaa.
You got me wrong bubu.... I didn't mean what you interprate or I wrongly pick the genre.
How could I....
Sina ujanja huo best.
Matata K.
Nina nyege mpaka kwenye nywele sijui nifanyeje
Usipate tabu tafuta dildo fanya yakoNina nyege mpaka kwenye nywele sijui nifanyeje
Dildo/Sex toy. Ukikosa tumia hata tangoNina nyege mpaka kwenye nywele sijui nifanyeje
Baaanaaaaa buu acha niamke sasa....
I just feel like dancing ghafla bin vuup....
Kasinde.
π π πAahahahahhaaaa Miss una virojaa, ukikwama tumia hot bottle water ukishalifunika na taulo au kitenge kizito weka katikati ya mapaja, jifunike aahh ni zaidi ya blanketi hehehehee.
Hukwenda ofisini leo?
Aahahahhahaaa gat me wrong again....
Yaani nilikuwa naamka kutoka kwenye slow jam hadi kwenye break the dance flow...
Maana hapo juu ilikuwa ni miterezo ya slow and blues and the zero degrees hehehheheheee
Nimejaa tele kwenye dawati la kaburu . To Do List imeisha.
Hii thread imenifanya nione kama nimeshika simu ya mtu bila yeye kujua halafu nikaenda kwenye msg zake nikakuta chating zake..find my self smilling na huku nikiangalia pembeni nisije kutwa na mwenye simu...
kuna rahayake kusoma conversation za watu..ukitoa umbea pia kuna Vyakujifunza like how to write,talk,respond,etc..
Kassie vs BAK simu sjui n ya nani..sema acha niende zangu siasani sasa.
Msalimie kaburu mwambie BAK kasema akuongezee mshahara akupe na bonus pia.
π