Ok nimeiona inasikitisha sana inafurahisha sana utacheka sana πππππila kama machozi yako yako karibu then without any doubt youβll shed few tears.
Ooh nooh it's emotional.... Then I need a shoulder to lean on while I shed tears and burst into laughter....
Hahahahhahaaaa from am to pm
From B to the K.....
Matata K.
Thanks ntakutumia picha baadae....
Aaahahahahahhahaaa looh weeweee.....
Aahahahahahahaa ngoja D aanze kukufatilia nyendo zako, hehehehehheee
Halafu nimemkumbuka huyu binadamu Tyta.... Amepotea kama Bensaa 8....
Cheers!!
Wewe hujawahi kuharibu?
Ila kuna siku ulinichenjia hadi nikasema..... Kwaniii.... Imekuwaje.... Mbona bubu kakasirika???!!!
Hahahahaha ulinywea baadaye huruma ikanijia lakini sikutaka kugeuka nyuma ili nigeuke jiwe. Sijaharibu aisee na siku hizi na hawa watu wasiojulikana nimekuwa extra careful.
Aahahahahabaa sio tuu nilinywea, bali niliufyata haswaa....
Code code codes.....
Bado nagawanya kwa njia ndefu bin magazijuto..... Halle Berry....
Nikawa nakusoma kimya kimya na kuishia kutabasamu na kusepa zangu ila uzalendo ukanishinda chezeya K matata weye!
ππππ
Unajua watu wamehamia hapa tangu jana wanatusoma kimya kimya tuu aaahahahhahahahaaaa
Usitiririke zaidi tasavali.....
Let's put some music on....while the weekend lasts....
Boombastic....
Kuumbeee..... Basi...
Nimeghairi kutuma....
Wee furahii tuu kwa raha zako the weekend is on.....