Am I wrong if I process divorce?

Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
Pole sana. Dada
 
Hahaha mbutukunaa

Wivu wangu ni mpaka kwa kaka zako...

Kwanini unataka nifariki lakini?

Hili limeniuma inabidi nilifikishe kwa kiongozi wangu wa kiroho Grahams ili aangalie namna gani atafanya roho yangu isiachane na kiwiliwili...
darling, huu wivu hadi kwa kaka zangu mbona majanga? usiwe na wivu hivi hun niamini mimi tu au imani yako kwangu imeshuka?

pls don't do that to me.
 
Nashukuru sana japo nilishathibitisha yeye kuzini nje..dharau iliongezeka na vipigo. Nipo tayari kwenye mchakato wa divorce na sihitaji ndoa tena maishani mwangu. Pole sana kwa changamoto the world is full of surprises,POLE
I understand your situation now! Mtangulize Mungu Kila hatua being separated sio kitu rahisi has a mkiwa na watoto.
 
Weee bana weeee , we all have closets.
Msijifanye hapa nyie ndo miti mmekosa wajenzi.
I hate it when people play innocence.
Hamna mtu kanyooooka, and while mwenzi anafanya wehu we ulikaa tu kama nukta.
Sio kweli.
We are all sinners, it's just we sin differently.

Kila mmoja has a role to play kufanya ndoa iwe imara na iwe hovyo.

Ikifika pa separation, muachane tu.
Sio kesi jamani.
Huhitaji kuwa saint ili ndoa yako iwe imara.
Haya mambo huwa tu yanatokea.
Haupo kwenye ndoa ndo mana
 
Haupo kwenye ndoa ndo mana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sipo kwenye ndoa, na wewe!

Kuna mwenzio ananichambulisha tembele vizuuuri na namuwekea maji ya kuoga na kumvalia kanga za "ni wewe tu nikupendaye"
Na jicho namrembulia ujue.
Yaaaaani nikipita mbele yake natikisa na wowowo.


Sema nini najua wanaume wachache sana wanaweza kuoa wanawake wenye balls.
Na still wakawaona ni wanawake.

Mmojawapo sio wewe.
And its okey!
Veeeeeery much okey.
 
Lakini....

Huko anakoenda ndio hakuna vipigo wala hakuna magonjwa?

How can you guarantee this?

You cant...maana wanyama ni wale wale...

Now you choose,stand or lay down......

Nadhani abaki na huyo kichaa tu aangalie jinsi ya kumdhibiti kwa akili...maana hizo furaha mnazozisema mtu unaenda kuishi kwa upweke the rest of her life,it is not happyness to me
To you it's not your just saying your not in her position better kua alone n free kuliko unakua mtumwa wa mtu na vipigo.
She knows what's the best for her sisi tunampa ushauri achambue zuri kwakee aende nalo
But habari za kuvumilia achananeni nazo..
Wastage of time bora ukaupotezee na vitu vingine.
Why uvumilie !? Kumbuka kukutesa , kulewa na umalaya kwake ni starehe zake ataziacha kweli na anajua anachokifanya kabisa
 
Mkuu

Naona unataka kutudanganya pahala hapa...

Wewe ulipokua 18,ulikua unachapwa na baba yako at will na unalia kama mtoto

Ulipokua 18 and above ulikua unagombana na siblings wako nyumbani na mnapigana mpaka mwenye nguvu anamshinda mwenzake na mnavunja vitu nyumbani,etc

Hivyo ndio tabia ya wanyama na binadamu ni mmojawapo

Ila huko kooote hukuongea lolote,leo inatokea hii maana ni wanadamu walewale eti unajifanya eti ni strange wakati ndio tabia original za wanadamu.

Leo mtu anakupiga mpaka unalazwa hospitali sababu umejifanya kushindana nguvu na mwenye nguvu..unge-lay down isingetokea

Formula ni kwamba mwenye nguvu anampiga asie na nguvu baada ya asie na nguvu kumchokoza mwenye nguvu..Kipigo kitakua kikubwa zaidi au for a longer duration iwapo asie na nguvu ataleta upinzani zaidi...

Ukipigwa kofi na mwenye nguvu nyamaza yaishe..usimletee upinzani eti na wewe unajifanya unajua mabavu...

Hiki ndio wanawake wa siku hizi hawakijui,hii ndio psychology of conflicts between men
Unajua unaongea in general what about wale wasiojibu na hupigwa mpk kuvunjwa kwasababu hajamjibu mumewe!?
Swala sio sababu kuna kipindi hahitaji sababu kukupiga hata akirudi usipomuongelesha nikipigo , ukipumua nikipigo , ukicheka nikipigo
Na kwanini akae avumilie kupigwa kwani peke yake hawezi kuishi!?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sipo kwenye ndoa, na wewe!

Kuna mwenzio ananichambulisha tembele vizuuuri na namuwekea maji ya kuoga na kumvalia kanga za "ni wewe tu nikupendaye"
Na jicho namrembulia ujue.
Yaaaaani nikipita mbele yake natikisa na wowowo.


Sema nini najua wanaume wachache sana wanaweza kuoa wanawake wenye balls.
Na still wakawaona ni wanawake.

Mmojawapo sio wewe.
And its okey!
Veeeeeery much okey.
Huna ndoa, sema umempangisha tu huyo jamaa... Mkataba ukiisha na mm 🤳
 
Wivu wangu ni mpaka kwa kaka zako...

Kwanini unataka nifariki lakini?

Hili limeniuma inabidi nilifikishe kwa kiongozi wangu wa kiroho Grahams ili aangalie namna gani atafanya roho yangu isiachane na kiwiliwili...
Hilo nimelipokea, jioni nitaitisha kikao kitakachowahusu jje's na mkongwe Asprin. Kama kawaida, tutatanguliwa na wimbo wa sifa kutoka kwa Chakorii 😄🏃🏻
 
Back
Top Bottom