Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,142
- 190,576
Inategemea mkuu, single parents akina baba wanakuwaga na balance ya upendo na kamwe hawezi haribu akili ya mtoto kumtia maneno ya hovyo kuhusu mama!mimi ni mchaga pia pls omba msamaha mkuu,,,hahahahhahahaha,,,,ila kuna element ya ukweli hapa
ila kuwa raised na single parent is not an issue here,,,issue yeye kama yeye ana akilii gani
In very rare cases mtoto haathiriki na bitterness ya mzazi dhidi ya mwenzie
