Wewe ni wife material, wewe ni mwanamke kati ya wanawake wachache waliopo duniani, ila shida umekutana na zombiwisee.. Hana hadhi wala haki ya kufanyiwa uliyomfanyia.. Shika njia yako uende mamii, afya yako muhimu mnoo.. Kwake huna thamani kuna watu wanakuthamini na kukuhitaji kinoma noma(wazazi, ndugu jamaa na marafiki, mtoto wako)..
Wapo wanaume wachache wanaojielewa, ika kuwapa ni NTITI(Kujisemea wamakonde)
Sijui kwanini ni mtihani kumatch mwanamke saafi na mwanaume swaaafi..
Mmoja akiwa malaika mwingine lazima awe makata kama sio subiani kabisa.
Wachache mnoo ndio wanabahatika.