The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
just because umezaa,doesnt mean uko responsible....there are a lot of irresponsible and selfish mothers outhere......
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.babu mie nahisi hata hilo la umama lina wito,sio wote wanaitwa,wengine wanalazimishia tu sababu as a society jamiii inakuexpect at certain time and age uitwe mama,whether you are ready ama you want it,hio ni ishu nyengine...
mie mwenzenu bado hamjaniconvince, u loneliness ukiwa mzee hauwezi kunisukuma nikazaa sababu who knows nitaishi kufikia kuitwa mzee?:happy:
Umeacha kukagua siku hizi?
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.
babu mie nahisi hata hilo la umama lina wito,sio wote wanaitwa,wengine wanalazimishia tu sababu as a society jamiii inakuexpect at certain time and age uitwe mama,whether you are ready ama you want it,hio ni ishu nyengine...
mie mwenzenu bado hamjaniconvince, u loneliness ukiwa mzee hauwezi kunisukuma nikazaa sababu who knows nitaishi kufikia kuitwa mzee?:happy:
Reading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.[/QUtOTE
hujawahi sikia mtu kazaa kamtumbukiza mwanae chooni,au kamtupa jalalani...how do you explain that?
.....na huku nilipo,cases zipo kibao za social worker kuchukua watoto from unfit mothers,so yes kuwa mama ni wito wengi wanalazimishia tu
Dah!!! Babu na mimi nashangaa ngoja nikamuulize Bibi leoHe! Umama ushakuwa Wito tena?
Bibi hakaguliwi.....
Hehehehe....jiandae kubwengwa makwenzi.....Dah!!! Babu na mimi nashangaa ngoja nikamuulize Bibi leo
Hahaha....bibi anatimiziwa wajibu!Hahahaha anafanyia finishing teh teh teh
Yaani kulazimisha kuwa mama? One thing i believe ni kuwa kama wewe na mwenzi wako mmekaa chini na kupanga what you want and what you need definitely hapo hakuna cha wito wala kulazimishwa, being a mother it comes automatically wanaotupa watoto its a result ya kukwepa na kukimbia majukumu, kutokujiandaa na kutokuwa na mipango madhubuti ya jinsi gani ya kumlea huyo mtotoReading from your comments its seems you are worried and you don't want to face responsibilities halafu hii ya kusema umama ni wito kidogo i am strongly against it tusitumie WITO kama ndio kigezo cha mtu kuwa mama, maana mwingine naye atatokea na kusema siwezi kuzaa sababu kuwa mama ni WITO.[/QUtOTE
hujawahi sikia mtu kazaa kamtumbukiza mwanae chooni,au kamtupa jalalani...how do you explain that?
.....na huku nilipo,cases zipo kibao za social worker kuchukua watoto from unfit mothers,so yes kuwa mama ni wito wengi wanalazimishia tu
Yaani kulazimisha kuwa mama? One thing i believe ni kuwa kama wewe na mwenzi wako mmekaa chini na kupanga what you want and what you need definitely hapo hakuna cha wito wala kulazimishwa, being a mother it comes automatically wanaotupa watoto its a result ya kukwepa na kukimbia majukumu, kutokujiandaa na kutokuwa na mipango madhubuti ya jinsi gani ya kumlea huyo mtoto
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:We dogo si umwambie dairekti tu kuwa wanaotupa watoto SIYO WAMAMA? Hakuna mama anayetupa mtoto.
Wanaotupa watoto ni mashetani wadogo waliojivika sura ya wanawake.
MAMA ni kitu kingine kabisa. MAMA amezaliwa tumbo moja na mtakatifu, hawezi tupa mtoto.
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
The Finest (Today)
Babu najua bado una nguvu za kutosha, ngoja nikamnong'oneze Bibi kuwa muongezee mtoto mwingine mmoja
I want to be a Father.
Baba akienda kitandani mjue bibi anamsubiri. Kazi inaendelea.
We dogo si umwambie dairekti tu kuwa wanaotupa watoto SIYO WAMAMA? Hakuna mama anayetupa mtoto.
Wanaotupa watoto ni mashetani wadogo waliojivika sura ya wanawake.
MAMA ni kitu kingine kabisa. MAMA amezaliwa tumbo moja na mtakatifu, hawezi tupa mtoto.
Then be a father!!!
You know what I'm waiting!!Then be a father!!!
Ubaba unawezeshwa na mwanamke, hauji hivi hivi