Am I falling in love or is just a crush?

Asante kwa kweli. Na haoni shida kunichuna nadhani, maana yupo tayari nilipe bill za outings japo sijatoka nae
 
Inaonekana DAT man is more physically attractive than u, so he's above ur league... Na ur crush pia utakuta nae anamzimia dem ambae is more attractive than him (out of his league)..so Mara nying instance kama hizo watu huishia kuumizana labda umuombe Mungu akuchagulie mume Bree ven
 
Asante kwa kweli. Na haoni shida kunichuna nadhani, maana yupo tayari nilipe bill za outings japo sijatoka nae
Sasa do this nikupe tips shosti NVR ever ever everrrrrr fall in love with a guy ambae haoneshi interest me najua kuna wakaka kibao umewaweka kwenye friend zone half unahaingaika na huyu .najua tu siku atakwambia let's go out aisee ruuuuun usiskilize ushauri wa watu wanaokwambia sjui funguka nop don't do that hta yy akikufataa run atakutesa. Ww ndo utakua mlipa bills hlf anatafuta a girl anaempenda anamuhonga hela zake na zako pia. Yani siku demu akimwambia bebi nataka laki moja anakutext ww bebi nipe lakimoja half inatumwa huko kwngn tulia utapata a great guy
 
Hii kweli, nimeiona kwa rafiki zangu wengine wa kike wanavyoliwa. Sikuwahi kufikiria kua ni rahisi kiasi hiki
 
Your style of writing profiles a no-keeper type. 29er should be a woman, not a girl. Maybe that's what scaring the brothaman away, I would be. You need some self evaluation first, otherwise you'll keep taking them Ls.
Acheni kukariri.
Cyo lazima wote tufanane ktk kila jambo.
 
Miaka 29 ndo basi tena!...sasa hivi unaingia kwenye kundi la waliwa kirahisi!
 
Ngoja nijiassess sio mim ninaependwa kweli...[emoji15] [emoji15] [emoji15] ??? Maskini kumbe kuna mtu namuumiza..
 
pole sana,mwombe akutembelee....Akifika home kwako cha kwanza kisses hata ikiwezekana deepkisses.....Ataelewa tuuuu
 


mbombo ngafu...mwe!!!
 
Mkuu castr acha uhaini.. Yaani nmecheka nahisi hadi huko uliko umesikia cheko langu et no way qy nakuja pm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…