Am I being unreasonable? ...ushauri please!

Nemo,

Angalau nimepata uhakika toka kwamba wewe ni mwanamke, hizi avator zinaweza kumchanganya mtu ukafikiri ndiye kumbe siye...

Sasa tuje kwenye hoja.

Cha msingi ni nini? Ndoa au kutimiza ndoto yako?

Naamini ndoa ni sehemu ya ndoto yako na wala si ndoa ndiyo ndoto yako.

Jiulize kusudi kubwa la maisha kwako ni nini? Kuolewa, hii ni sehemu tu.

Wazazi wako au jamii siilaumu kwani wengi wanafikiri ndoa ndiyo kila kitu na hata mara nyingine ukimkosa fulani na hasa kama ana kile kinachoitwa PESAAA, basi wanafunga milango yote ya kuona, kusikia , kutafakari hata kufikiri kisa mwanaume ana pesa au nafasi na sana sana wazazi au jamii wanaangalia jinsi gani jamaa anaweza kusaidia maisha yao siku za mbele.

Mwali, ushauri ni kwamba endeleza ndoto yako, kwa staha yote mueleze mwenzio juu ya hilo , kwani hutaki kuchanganya mambo na usije ukashindwa kufikia malengo yako. Naamini kama umeahirisha ndoa kwa ajili ya mambo ya msingi , hata huyo mwenzio ataliona hilo, kama halioni hilo basi tambua anaangalia kwa kutumia miwani ya kwake mwenyewe na kama yu tayari kukuvunja ili mradi akuoe kwa kutimiza lengo lake binafsi, basi hapo waweza kutambua huyu ni wa kukaa mbali naye.

Fikiria utajenga ndoa ya namna gani endapo, huyu mume anakupa ultimatum kabla ya ndoa ! Je Ukiingia kwenye ndoa itakuwaje? Kama mwenzio unampenda, basi umshirikishe katika mambo yako na yeye akushirikishe kwenye ndoto zake, kama ndoto zenu zinashabihiana basi mtajenga himaya....
 

Newazz

Nashukuru sana. (especially kwenye hizo blue). Pia let me add its not like we had a date set tayari hiyo 2014, hapana ni kuwa nnatakiwa niwe huko so we can move forward with the relationship (si unajua issues za long distance) !and/or to the next step
 
Oh yes you are!

Wamekushauri wengi hapa...........niseme tu ikiwa WAMPENDA kweli! uttacha moyo wako uamuamue kulikuza na kuliinda pendo lenu!

Chukua hatua sasa!
 
kama upo mbali naye,lazima mwaka auone kama century,
na wewe if u real love him,kwa nini usijipange hio 2014,ikibid postpone unnecessary stuffs ili uende naye sawa
 

ur right mkuu.
 

fuata ndoto zako mama, binadamu hatueleweki, hatutabiriki
 
Umeji-asses vp mpaka sasa??have a free mind and think if u are reasonable or unreasonable,Chagua 1,Career or maisha.......hata hivyo wanaume hatuishi,ukimaliza kusoma utampata mwingine ambae ni creer oriented,try to think and decide so wisely,hili jambo si la kukurupuka na kuamua in a selfish mode
 

So what happened if you don’t mind me asking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…