mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,289
- 1,243
mtz one said:chochoko tena baaas let us be great thinkers
Join Date : 25th December 2012
Location : COPEN HAGEN DENMARK
Posts : 701
Rep Power : 0
Likes Received32
Likes Given17
Hapa tu ndipo paliponiacha hoi, hasa kwenye rep power!
Pole na hongera mkuu!
Si rahisi mtu kuwa na post zote hizo,afu 0 Rep power.
Labda amepewa Infraction na member mwingine.
niko hapa kutuliza moyo wako haya sasa REP POWER 4051 UMERIDHIKA?Join Date : 25th December 2012
Location : COPEN HAGEN DENMARK
Posts : 701
Rep Power : 0
Likes Received32
Likes Given17
Hapa tu ndipo paliponiacha hoi, hasa kwenye rep power!
KARIBU SANA Jamvini.
niko hapa kutuliza moyo wako haya sasa REP POWER 4051 UMERIDHIKA?
hahahaha mkuuu kwetu watu wanatokea hiyo thats why i love this paerty daaaaah pokea cheko langu juu ya signature yako hahahaha eti "si kila anayetanga tanga amepotea" lolHicho kinguo chako ulichobandika juu kwenye avatar yako ndo kitakuweka nyuma ya nondo kila siku.