JAMANI WANA JF HABARI,
Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla nikajikuta nimeshaingia kingi bila kujijua. Maskini ya Mungu kumbe ni mke wa mtu na hakuwa na pete na mimi kwa ugeni wangu sikulijua hilo. When i realised that nilijuta sana na bahati nzuri jama hakujua, maana sijui ingekuwaje.
Huyo dada alivyogundua kuwa nimejua akawa analia lia tuuuu na kunibembeleza kuwa huko kwa mumewe hapati chochote jamaa hovyo. Akawa ananisifia kuwa endapo nitamwacha atajiua, hivyo tuwe wapenzi kisiri siri. Nikaamua kumuacha step by step, bila yeye kujua. Nikawa napunguza frequency za kukutana na yeye taratibu. Alivyoona vile akaenda akamchukua mfanyakazi mwenzangu pale ofisini akawa substitute yangu. Baadaye akaanza kuniponda tena na majungu kibao, mpaka sasa anaendelea kufanya hivyo huku akijua kuwa mimi najua hilo na anaona sawa.
Jamani dunia imekwisha, nimetafakari sana hivi ningefumaniwa na mumewe ningekuwa wapi sasa!!! Mtuoneee huruma jamani akina dada muwe na uzalendo muwe wawazi. Am tired and i dont trust a woman naona bora niishi kivyangu vyangu tuu.
kama wewe ni mtu mzima na unayeelewa sircumstances ktk mapenzna wewe unasubiri kutongozwa na mijimama ndio faida yake ungefumaniwa bahati yako siku nyingine uwe unatumia akili.
Some women say the same about you guys. Hizi sio lawama zinazostahili upande mmoja tu bali pande zote mbili.Swala la kwamba huamini wanawake ni kama unajikomoa mwenyewe maana mwisho wa siku ni wewe utakaekosa mwenzi wa maana kwa kuishi kwa wasiwasi.Ulivyoelezea unaonyesha wewe ni mwanaume mzuri maana hufurahii kuingia ndoa ya wenzako...hapa jua kuna wanaume wameshindikana ila kama wapo wachache kama wewe amini kwamba hata wanawake wazuri wanaojua nini maana ya mapenzi/mahusiano na ndoa kati ya watu wawili tu na sio watatu wapo pia!!Fikiria tena...
Alafu wewe...mwangalie na vijishauri vyake vya kizushi hapa!DaahhhPole sana mkuu Kama ndio umeanza hizi sarakasiNa mazingaubwe ya ku date kaza mwendo kwani mchana bado kweupe..Ukifikisha 5 hivi hapo sasa umesha kuwa konkody.. hutaingia gizani kirahisi.. Nachukua muda kumjua mtu kamaUnatafuta wa kuoa... Mmmhhh siku nyingiine ukinunua takeawaysUsipeleke nyumbani .. kula barabarani au simamisha gari mahali...Hujanielewa ni PM
Mstari mpya wa kutongoza nini?!Maana naona tangu juzi unautumia sana...ukitulia una busara sana
Akili zetu huifanya midomo inyamaze.
Ulimwamini vipi bila kufatilia undani wake?
Japo hata kujua rafiki zake ambao wangekusaidia kukupa data.
Au ndo mlikuwa mnazungumza siku mpo katka mechi? Hii ni mbaya maana kitandani mengi hunenwa ya uongo na kukubaliwa hata yasiowezekana ilimradi mtu atimize haja.
Anza moja!
Atatumikiaje 2 lords?
Unafikiri inamaana kuwa na mke wa mtu kisirisiri?
Kama ni msaada mwingine mpe tena sio wakuja kuchukua pesa bali umfundishe kuzitafuta.
Aaah! .... Mapenzi gani hayo?!