Am angry but I still love you

Am angry but I still love you

Yaaani jitu zima kulia lia kisa mwanamke ni kitu cha ajabu sana....hv una miaka mingapi?umechelewa kubalehe?
 
Pills and portions, we are overdosing........I am angry bt I still love you.
 
24years old, alikuwa ni girlfriend wangu wa pili, nilijiapiza coz nilimpenda sana na bado nampenda sana na naamini ndo msichana pekee ambaye nina chemistry naye, yes alinickia na anaelewa hilo.

Mh!...nilidhani una miaka 19/20!.....nakushauri kwanza jitoe kwenye hicho kiapo/agano...alipokusikia akaona ashaku-win so hana cha kupigania tena, hapo ndo watu wanasema life is unfair!

Wanawake/binadamu ndivyo alivyo, alicho nacho hakithamini mpaka akipoteze! Huyo dada ana uhakika akirudi siku yoyote utampokea, so anakula gud tyme mpaka atakapojisikia ndo atarudi ila atakuwa mtesi wako mpaka utakmapoamua ku-let her go!

Me nakushauri kaa chini tafakari, then fanya maamuzi magumu let her go. Mwanamke kukuonyesha ana mwanaume ni dharau tosha...imeandikwa mwanamke amuheshimu mume,na mume mpende mkeo..

Wanawake wanapenda challenges! Amefuata challenge huko ili kuboost her self esteem...tumia akili kumwacha aende!!! usitumie moyo/hisia.

Jiulize je anakupenda? Angekuwa anakupenda asingesepa!.....let her go! and life will go on brother.....tough time never last but tough people do.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom