Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,550
And me am still love you
Hahahaaaaa!
And me am still love you
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu aaaah mbaya zaidi kwa yule uliyempenda.....
Popote ulipo wimbo huu ukufikie.
Bonge la dedication, ukute mwenzie huko alipo hata wazo hana, mapenzi bwana!
Hata wazo la kumrudia hana, Ifike kipindi watu wajifunze kukubaliana na ukweli.
hahahahahahahahaha nmekuelewa bro..,, umenifurahisha sana., nmeupenda ushauri wako 4 realKiongozi kama umepata kazi nzuri na binti bado anasoma nini kinakushinda kumrudisha. Mabinti wengi wanapenda mambo ya kizungu. Subiri "birthday" ifike umwandalie "surprise" ya sherehe na zawadi juu. Kama imeshapita hakikisha wewe ndio utaigharamia "graduation" kuanzia nywele, mavazi, viatu na part juu. Mapenzi ni Sanaa acha kulia na akili yote ielekeze kwenye ubunifu.
nimekuelewa bro, ntayafanyia kazi mawazo yako
yaani mi sina hamu na wadada ng kwa sasa mungu kasaidia nina kazi nzuri NITAOA MWANAMKE M'MBAYA YANI SITATAKA KULIZWA NA NDOROBO YEYOTE NA WATAFYONYA SANA NGOJA. NA NTAJITAHDI NIMPENDE XANA
Hahahaaaaa....Yaaani wewe ndio umeniacha hoi kweli..!!
yaani mi sina hamu na wadada ng kwa sasa mungu kasaidia nina kazi nzuri NITAOA MWANAMKE M'MBAYA YANI SITATAKA KULIZWA NA NDOROBO YEYOTE NA WATAFYONYA SANA NGOJA. NA NTAJITAHDI NIMPENDE XANA
Kiongozi kama umepata kazi nzuri na binti bado anasoma nini kinakushinda kumrudisha. Mabinti wengi wanapenda mambo ya kizungu. Subiri "birthday" ifike umwandalie "surprise" ya sherehe na zawadi juu. Kama imeshapita hakikisha wewe ndio utaigharamia "graduation" kuanzia nywele, mavazi, viatu na part juu. Mapenzi ni Sanaa acha kulia na akili yote ielekeze kwenye ubunifu.
atoto umeona pale kwenye paragraph "Nimepata kazi nzuri na ninaishi maisha mazuri" ukirudi patumie vyema.!Haya mpenzi nimekusikia, hata mimi bado nakukumbuka sana na ni shetani tu ndio alinipitia sikuteleza tu bali nilianguka kabisaaa, ila sasa nimenyanyuka na nitarudi kwako, nakupenda sana
Dedication: mapenzi yanarun dunia by Ally Kiba