Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
..
Yeah yumo humu..,, na naamini ujumbe ameupataSasa huyo muhusika yumo humu JF??
nimekuelewa bro, ntayafanyia kazi mawazo yako
Yeah yumo humu..,, na naamini ujumbe ameupata
Kiongozi kama umepata kazi nzuri na binti bado anasoma nini kinakushinda kumrudisha. Mabinti wengi wanapenda mambo ya kizungu. Subiri "birthday" ifike umwandalie "surprise" ya sherehe na zawadi juu. Kama imeshapita hakikisha wewe ndio utaigharamia "graduation" kuanzia nywele, mavazi, viatu na part juu. Mapenzi ni Sanaa acha kulia na akili yote ielekeze kwenye ubunifu.
woow! So Romantic..