You are not alone aiseee
Mie hasa yale magari makubwaaa yaani yananimalizaga nguvu kabisa
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
Hahahahaha shosti...sie kuch kuch hota hai tukae pembeni tu lol...shepu za kulia bagia lol na chatne...
Ww unaoneshea simchezo unatisha na kupagawisha
Mi nitatafuta hata ya mchina!Hahahahaha shosti...sie kuch kuch hota hai tukae pembeni tu lol...shepu za kulia bagia lol na chatne...
swadakta huyu jamaa tunafanana sana aisee.Pacha wako ni Washawasha lol...
Mi nitatafuta hata ya mchina!
swadakta huyu jamaa tunafanana sana aisee.
Nalog off
Mie ndivyo nakupendea kaka Washawasha...muwazi sana na chaguo lako lol
swadakta huyu jamaa tunafanana sana aisee.
Nalog off
mkuu hii shepu kama ya tabasamu wa humu.sema tabasamu ana hipsi tamu zaidi.swadakta huyu jamaa tunafanana sana aisee.
Nalog off
Mi nitatafuta hata ya mchina!