Am a single lady.......if u like it then u shuld put a ring on it-diva

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
yani umenishtua na hiyo thread yako am a single lady.................. dd i get u wrong???????
 
Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,424
1,029
Hivi kwanini mnaendelea kuhangaika na huyu Diva wakati alishasema katika Blog yake hataki members wa JF wajadili mambo yake humu.
 
Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,424
1,029
[h=2][/h] huyo Diva wenu aliandika hivo ktk Blog yake: Achaneni nae aaah:
[h=3]JAMII FORUM NIMECHOKA SASA ....MNANITAFUTA NINI HASA??[/h]

Saa hii Usiku nimeshindwa kulala kabisaa kabisaa
jamii forum niwaulize mna matatizo gani na mimi?
hamna watangazaji wengine wa kike ambao mnaweza kuwajadili katika mtandao wenu?
maana sielewi inakuaje ??
Nakuta Picha zangu zinakuja kwenu zinajadiliwa ..... mnaiba Picha facebook mnaweka mnanijadili upuuzi ?
sasa mpaka next week naomba mtoa Picha zangu na kila kitu kinachonihusu huko katika mtandao wenu /// na m delete hizo comments chafu zinazonihusu mimi, i blog too na najua kuna uwezekano wa kuzuia comments chafu na mbovu zinazomuhusu Mtu mwingine yoyote ..NA NYIE MNAACHIA TU BILA KUJUA ZINAMUUMIZA MTU KIASI GANI NA ZINAMUATHIRI KIASI GANI..got family too ...mnajua how much inani cost hizi issue zenu za kutukanana mitandaoni na kuchafuana??
Kisheria mnanikosea na ntatumia hiyo sheria kuwaelekeza how things work .......its a free world na kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka yeye sawa ???
sasa kama Mnafikiri mnaweza kuandika ujinga na ku insult watu kupitia mtandao wenu ,andikeni haohao mimi sitaki kabisa nasema sitaki na sasa nachukua hatua dhidi yenu.
...have my team na najua sheria vizuri inaendaje,hii Tanzania sio marekani,hatuna uhuru huo wa kuandikana vibaya katika mitandao
Mnanichezea sasa naona ......ennuf is ennuf,i have my family ,i have people i respect and they respect me back , mbona mimi siwavunjii heshima why nyinyi mnakuwa mnanikosea lakini?why???whats wrong with u guys ???
Tutaelewana tu naamini ....... mnavuka mipaka sasa , ntapoteza tu muda wangu kwa ajili yenu ...ngoja tuone
 
Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,712
1,244
huyo Diva wenu aliandika hivo ktk Blog yake: Achaneni nae aaah:
JAMII FORUM NIMECHOKA SASA ....MNANITAFUTA NINI HASA??Saa hii Usiku nimeshindwa kulala kabisaa kabisaa
jamii forum niwaulize mna matatizo gani na mimi?
hamna watangazaji wengine wa kike ambao mnaweza kuwajadili katika mtandao wenu?
maana sielewi inakuaje ??
Nakuta Picha zangu zinakuja kwenu zinajadiliwa ..... mnaiba Picha facebook mnaweka mnanijadili upuuzi ?
sasa mpaka next week naomba mtoa Picha zangu na kila kitu kinachonihusu huko katika mtandao wenu /// na m delete hizo comments chafu zinazonihusu mimi, i blog too na najua kuna uwezekano wa kuzuia comments chafu na mbovu zinazomuhusu Mtu mwingine yoyote ..NA NYIE MNAACHIA TU BILA KUJUA ZINAMUUMIZA MTU KIASI GANI NA ZINAMUATHIRI KIASI GANI..got family too ...mnajua how much inani cost hizi issue zenu za kutukanana mitandaoni na kuchafuana??
Kisheria mnanikosea na ntatumia hiyo sheria kuwaelekeza how things work .......its a free world na kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka yeye sawa ???
sasa kama Mnafikiri mnaweza kuandika ujinga na ku insult watu kupitia mtandao wenu ,andikeni haohao mimi sitaki kabisa nasema sitaki na sasa nachukua hatua dhidi yenu.
...have my team na najua sheria vizuri inaendaje,hii Tanzania sio marekani,hatuna uhuru huo wa kuandikana vibaya katika mitandao
Mnanichezea sasa naona ......ennuf is ennuf,i have my family ,i have people i respect and they respect me back , mbona mimi siwavunjii heshima why nyinyi mnakuwa mnanikosea lakini?why???whats wrong with u guys ???
Tutaelewana tu naamini ....... mnavuka mipaka sasa , ntapoteza tu muda wangu kwa ajili yenu ...ngoja tuone

Jamani tupunguze midomo wadau! Ma' Great thinkers tunaanza kuwa watoto wa uswazi kujadili yasiyotuhusu. She is right! Tumheshimu jamani.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,412
58,019
Jamani tupunguze midomo wadau! Ma' Great thinkers tunaanza kuwa watoto wa uswazi kujadili yasiyotuhusu. She is right! Tumheshimu jamani.
kamuulize maana na social network ni nini? ..hizi si ni kaweka mwenyewe youtube ..anaweka huku akijua uwa vidomo domo tu[po ...kama anaweza aweke then atufunge na midomo au aweka password ili waone wale aliowachagua ...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom