kitukuupinde
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 210
- 168
Huku ni .com na si .co.tz
Unajua kudanganya kama wavulana vile!!![]()
![]()
![]()
![]()
Kule bila uwepo wako pamepoa sana bebe rafiki

Na sisi tunaongoza siku hizi piaUnajua kudanganya kama wavulana vile!!![]()
![]()
![]()

Newcomer ambae siyo ke huwa hanogi!![]()
Looh! Mkaribisheni mgeni huko![]()
![]()
![]()
Nilikuja kwa kasi ila sijamfurahia mgeni pia
Hivi kubadilisha jina unafanyaje wakuu??
Fungueni tu account mpya mbona hizo id zenu bado azijatumika sana!Jamn jina wabadirishaje au mpaka nifungue account nyngne![]()