Alzawir aibuka katika video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alzawir aibuka katika video

Discussion in 'International Forum' started by Ami, Jun 9, 2011.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Vidio inayotajwa kuwa ni ya Ayman Aldhawaahir imetolewa.Vidio hiyo inayoelezwa kuwa ni ya nusu saa kiongozi huyo aliyekuwa ati chini ya Osama ameitoa akiomboleza kifo cha bosi wake.
  Imeelezwa amemsifu Osama na kwamba ataendeleza vita dhidi ya Marekani na kwamba amelaumu kitendo cha kuzikwa Osama baharini kwamba si cha kiislamu.
  Ajabu ya vidio hiyo ni kuwa zaidi ya picha ya Aldhawaahir wazungumzaji wote ni watu wa CIA halafu imeunganishwa na maelezo mengi kuhusiana na matatizo yanayoendelea katika nchi za kiislamu.Katika Aljazeera wakielezea vidio hiyo mchambuzi wao anayeitwa Marwan Albishara amembeza Aldhawaahir na kwamba nchi hizo sasa zina harakati mbadala kutokana na zile za Alqaeda.

  Jamani yupo aliyeiona vidiio hiyo nje ya mitandao ya CNN na Aljazeera?.Kwanini Aldhawaahir haachiwi akazungumza mwenyewe angalau dakika moja?.Binafsi nimesikia neno moja tu kwenye sekunde za mwanzo lenye kuashiria kufa kwa Osama .... ilaa rabih (...kwa Mola wake).
  Kama yupo mwenye uwezo wa kueleza usahihi wa kituko hiki,naomba aingie ukumbini ili heshima za binadamu ziendelee kuwa juu kuliko wanyama wa kufugwa.
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo unamaanisha hiyo video ni ya kupikwa ? kama ni hivyo kwa nini? haya bwana
   
 3. N

  Nanu JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa kila siku wanataka kufanya biashara ya risasi na silaha. Hiyo video wametengeneza ili kuonyesha kuwa duniani kuna threat kubwa ili waendelee kupata fedha kutoka kwenye silaha na mashirika ya bima, n.k.
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tuondolee thread zako za kipuuzi hapa kwani huyo jamaa ndo nani na sisi tuna husikaje na mambo ya osama sijui kafa au hajafa kazikwa au hajazikwa??mtafute malaria sugu na yule kahaba mwingine fox ndo watakusaidia kwa hilo!!
   
 5. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  wacha jaziba na kutukana watu au ndiyo mafundisho uliyopata hayo nyumbani na shuleni???

  Ukumbi huu ni international soma huko juu bila jaziba
   
 6. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,590
  Likes Received: 6,754
  Trophy Points: 280
  Hizi Video ni michezo ya Kuigiza tu!, Video za zamani za Osama ni za kupikwa, na wataendelea kupika nyingi tu ili kuset ajenda yao ikae vyema katika akili za watu, ili kujustify imperalism motives zao!. kiufupi hii ni michezo ya kipropaganda tu.
  CIA walishaaddmit kuwa na mpango wa kutengeneza video za Osama!.
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwamba hata wewe pia umeshindwa kutuletea hiyo video halisi au kututajia website ilipowekwa.Hii ni ushahidi kwamba hakuna Alzawaahir aliyezungumza.Naamini kama ungekuwa na jibu ungelilleta ili unioneshe kwamba mimi kweli nimeleta huo upuuzi.
   
 8. l

  lebadudumizi Senior Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Osama is died full stop.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona unakuwa mkali bila sababu ya msingi?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Msipaparikie lugha za watu kama hamzijui. Halafu huyu atakwambia nimesoma "akademi" mimi.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Tumsubiri na yeye atumbukizwe kwenye RED SEA
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu sijakupata vizuri hapo
   
 13. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
Loading...