relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Sina mengi ila nashukuru Muumba mchango wangu wa 20000 umefika sehemu husika na unatenda kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuelewa labda aliyemwalika au kumpa offer ya menu ajitokeze, hata akijitokeza bado hatamuamini labda pia alete risiti za malipo ya menu.Ndugu mwandishi, je kama alialikwa?
Ndugu mwandishi, je kama alialikwa?
Huo ujumbe wa aliyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho mnaulewa una maanisha nini?Hebu wekeni accaunt yake namimi nichangie pesa ya matibabu...
Nmeamini kweli aliyoyasema yesu kwamba...
Yote niliyoyasema yatatimia hakuna hata punje ya neno itakayopita bila kutimia mpaka mwisho wa dunia.......
Aliyenacho huongezewa bali asiyekuwa nacho atanyang'anywa Hata kidogo alichonacho na kupewa aliyenacho
Sent using Jamii Forums mobile app
imefanyaje!