jaman naombeni msaada wenu hii sim yngu imeharibika power button(p.button ipo kwa juu) sasa inanisumbua kwel kuiwasha kwhyo kwa anayejua alternative way yake rabda kama kuna code maalum za kuwashia au vinginevyo anisaidie.NATANGULIZA SHUKRAN WAKUU

Utawashaje taa hizi za kawaida za umeme bila kugusa switch mkuu?
Nikimaanisha system walizotumiaga nokia ktk simu hizo ! Swala unalozungumzia haliwezekani !
Hakuna code yeyote itakayokusaidia ktk suala hilo !
Nenda kwa fundi aka kuunganishie tu moja kwa moja yaani ukiweka tu betri iwe inawaka!
Au aka kubadilishie hako kamfumo kakuwashia simu yako !
Lakini hivyo hivyo tu mkuu you'll keep knocking ! Am sure