Jamaa huwa wanajiandaa sana. Wao wanajiandaa miezi 6 wewe uwakamate kwa siku 2 wapi na wapi?
Sirikali si imesema imewaua magaidi
Sasa kama waliondoka siku hyo hyo ina maana wakenya walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe
Sasa kama waliondoka siku hyo hyo ina maana wakenya walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe
Sidhani kama kuna ukweli..na hao waliotekwa walishidwa vp kutoka?
Kama walitoroka wale waliokuwa wanajibu mapambano mpaka siku ya nne walikuwa ni nani?. Naona kama idara za usalama za kenya zinajishusha credit!
Ila wakenya wameniudhi sana kitendo cha kushindwa kupata angalau mwili wa gaidi aliyekufa!
porojo baada ya Mauaji, wale wajahedeen waliuwawa wote, hakuna mjinga wa kiislamu aliyetoka kule!
kuna kitu kimenisikitisha sana kama kweli ndivyo ilivyo basi tutaendelea kuyasikia haya yakiendelea kutokea eti wale walinzi (security guard) wa westgate walikuwa na miezi miwili hajalipwa mishahara yao
Sasa kama waliondoka siku hyo hyo ina maana wakenya walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe