Alshabaab wazuia mikutano ya Injili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alshabaab wazuia mikutano ya Injili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ground Zero, Nov 28, 2011.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya mkoa wa Dar umewanyima kibali Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa kile kilichoelezwa na mkuu wa mkoa huo Meck Sadik kuwa ni hofu dhidi ya Alshabaab.
  Source; Mwananchi 28/11/2011
  Hawa Alshabaab sasa watatufikisha pabaya, tutafika mahala hata harusi zitapigwa marufuku, masoko kama yale ya karume marufuku sasa nchi itakuwaje?
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,861
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Wala si Alshabab huu ni Udini tu siku hizi kama serikali ikiona wanataka Kubanwa wanasingizia Alshababu maandamano wanasingizia Al-Shabab siku hizi Al-Shabab ni Chaka la kuficha uovu Wa serikali na CCM yake.
   
 3. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naamini kuzuiwa kwa mikutano ya injili ni mpango wa polisi na serikali yake kutafuta sababuu za kuzuia maandamano ya katiba yanayokuja kwani watasema hamuoni hata mikutano ya injili tumezuia
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,432
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
 5. E

  Edwin Chapa Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fanyeni mkutano na wala msiogope hao Al shabab kwan km Mungu ameandka kufa utakufa na tena ukifa ukiwa ktk Mkutano wa Injili(neno la Mungu) utakuwa umekufa kishujaa na wewe ni mfia dini usiogope hao,Tangazeni neno la Injili kwa mataifa yote
   
 6. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We waache waendelee kuwasingizia al-shabaab mwisho watakuja kweli.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,636
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280

  kuzuwa kufanya mkutano wa injili ni udini... hehehe! ama kweli weye ni great thinker ...

   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,250
  Likes Received: 15,065
  Trophy Points: 280
  mbona mihadhara inaendelea kama kawaida pale Manzese? Ni nani kawapa kibali cha kufanya mkutano pale?
   
 9. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale wa manzese hawana ugomvi na alshabaab mkuu
   
 10. samito

  samito JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania Intelligence security imekaaje? namashaka nayo hawana uwezo mkubwa, sasa tukitishiwa kidogo tunaogopa hao jamaa wanafanya nini? nahisi kuna jambo jingine behind the so called al-shabab!!!!
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,355
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  :smash: Sasa nimekwazika na hizi sababu za kila siku
   
 12. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  tumeshtuka taarifa za kuaminika ni kuwa tangu julai mwaka huu, waislamu zaidi ya
  500 wamebadili dini, hamuoni ni hatari kuruhusu mikutano zaidi?
   
 13. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,073
  Likes Received: 1,609
  Trophy Points: 280
  mie hofu yangu ni pale mzaha huu utakaposababisha hofu kwa watalii.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Maandamano yepi tena? Ndoa ya katiba tayari imeshafungwa jana Ikulu. Tuendelee tu na zoezi la kutoa maoni juu ya katiba mpya.
   
 15. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Jinamizi la Alshabaab.:lol::lol::lol:

  Wenyewe hata hawana habari kwamba mikutano inazuiwa kwa sababu yao. Wenyewe wako busy kutoana roho wenyewe kwa wenyewe. :lol::lol::lol:
   
 16. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,861
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Mbona mihadhara inaendelea pale Manzese na kule Mbagala huko hakuna Al-Shabab??????
   
 17. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,861
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Ndoa gani tena??? We acha kumtusi mkuu Wa kaya.
   
 18. std7

  std7 JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Al-shabab na mihadhara shina ni moja.
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Soon tutasikia kuna alshaamam!Inaumiza sana kuona watu wengine wakitaka kufanya mambo inakuwa rahisi tu tena bila bughudha ila watu fulani ni marufuku,tunakoelekea si kuzuri na ipo siku yatatokea madhara makubwa maana tunapandikiza chuki baina ya makundi katika jamii.
   
 20. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimeshauliza hili swali mara nyingi, nini kazi ya polisi? Ni kutumia taarifa zao za 'inteligensia' kuzuia ibada hiyo au kulinda ibada hiyo dhidi ya al shabab? Nina kigugumizi na nia ya polisi.
   
Loading...