GE2025 Alphonce Temba: Nikichaguliwa Mabasi yote yataishia Stendi ya Magufuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi.

Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.

Hoja ipo valid but wenye hoja za msingi nchi hii hiwahitaji. Tunawahitaji Machawa tu.
 
Atuachie utaratibu wetu uliopo, mtu atoke mbande au chanika aje apande bus mbezi?

Kwenye vipaumbele vyote vya msingi kwa jimbo la Kibamba,ye ameona hilo tu?
 
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi.

Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.

Siyo kipaumbele kwa sasa.
 
Wananchi ndo wanahitaji mabasi kwenda kigamboni, mbagala ,gongolamboto chanika,shekilango na kwingine, kwaajili ya kupunguza usumbufu au gharama zaidi.

Ukiwa na begi kubwa la kusafiria daladala hazikutaki na mwendo kasi huruhusiwi kupanda nalo, Sasa mtu atatokaje nalo Kigamboni au mbagala hadi Magufuli stendi zaidi ya kutumia usafiri wa gharama zaidi kama bolt.

Hayo magari sehemu yanapolala na kuondoka yanawasaidia sana watu tofauti na yakianzia Stendi ya Magufuli. Uzuri yanatokea huko ndani ndani alafu yanapita stendi ya Magufuli na kuchukua abiria pia.

Mkiboresha miundo mbinu rafiki mfano mwendo kasi za uhakika bila msongamano na zinazoruhusu mabegi makubwa na zikafika moja kwa moja stend ya Magufuli mbona hilo halitakuwa na shida.

Leo mimi natokea kigamboni ambako BM ya kwenda Arusha inaanzia hapa inanipakiza bei sawa na aliye pakia magufuli alafu kesho ukataze yasifike kigamboni alafu nianze gharama za boda hadi feri bado pantoni bado ukifika posta mwendo kasi zimeshona huwezi hata weka mguu. Hivyo utafute bolt ufike Maguful stend yaan unakuta gharama iloongezeka zaidi ya elfu 20 unadhani nitashabikia hilo?
 
Jambo jema sana mwenzetu kaona ndio shida na hitaji kubwa zaidi la watanzania/kengez
 
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi.

Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.

Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa wenye jina la Temba kama jina binafsi ama ubini wengi wao walikuwa na shida upstairs.
Sidhani kama hiyo ndiyo kero namba moja, mbili ama tatu ya wakazi wa Kibamba
 
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi.

Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.

Kwa hiyo badala ya kupunguza magari mdogo yeye anaona solution ni kupunguza mabasi
 
Back
Top Bottom