Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

hahaha huwa napenda sana hizi story za chenge ni balaa,,,,
 
Watashindana kamwe hawataweza kuishinda Chadema.. giza haliwezi shinda Nuru
 
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!

Baada yakuwashugulikia ccm kanda ya huko na mkarudisha mikia sehemu yake ndio unaona hafai? Tutawashugulikia tuu maana hakuna namna
 
Sisi hatuchagui chama, tunachagua mtu. Hakuna mtu anayetufaa bariadi zaidi ya Chenge, wengine watasubiri..

Hatakua namakengeza ya nyoka tena tutayanyosha yawe ya kaka kuona kwahiyo ukombozi niwachadema hakuna namna nyingine tumechoka namafisadi
 
kamanda mawazo leo umefanya jambo ambalo hata polisi wanaogopa ! safi sana .
 
natangaza rasmi kuchangia pesa taslimu ili kumg'oa chenge bariadi , Tanganyika bila wizi inawezekana .
 
Nyoka wa Makengeza anajivunia vijisenti vya Escrow na EPA
 
ooh kumbe watanzania ndio wameichoka ccm na watu wake.!!! Kwa hiyo unatuambia nini sisi watu wa bariadi.???
Mgawo wa kampeni umekufikia?, wakati ukimhitaji chenge,shule za bariadi zikiendelea kutoa sifuri,wewe na chenge wako
 
kila nikikumbuka wale wadada waliogongwa na gari la nyoka mwenye makengeza namuogopa sana.
wala usimuogope hana lolote , aliwagonga kizembe sana , hakuwahi kumiliki leseni na alihukumiwa faini ya laki 7 .
 
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!
nadhani hii ndio post ya kimasikini zaidi katika kipindi cha kuanzia siku ya mapinduzi ya zanzibar na leo siku ya Karume , hongera mjomba !
 
Back
Top Bottom