Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

Alphonce Mawazo amvaa Chenge-Bariadi

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita kamanda Alphonce Mawazo amemvaa jambazi ambaye kila tuhuma ya wizi yupo na mbaya zaidi hujisifia kwa uwizi wake huo kwa kusema ni vijisent mara anamake geza ya nyoka hivyo huchungulia dili la pesa popote lilipo muda anaipata baada mwenyekiti wa Geita kumfata katika uwanja wa Halmashauri...
muda huu wajumbe mbalimbali wanatema cheche kabla ya mkutano kuanza Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti huyo ilizuiliwa kutua bariadi licha ya kuwa na vibali vyote...

Mungu Ibariki Chadema...
attachment.php
 
mkuu naambiwa huo uwanja umejaa si kawaida
 
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!
 
kila nikikumbuka wale wadada waliogongwa na gari la nyoka mwenye makengeza namuogopa sana.
 
Wanawambia wananchi wa Bariadi, hasa wasukuma wabadilike, maana wao wamekuwa ngome ya ushindi wa CCm, wakati wanakabiliwa na umaskini na ujinga kwa kiwango cha juu sana tu....
 
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita kamanda Alphonce Mawazo amemvaa jambazi ambaye kila tuhuma ya wizi yupo na mbaya zaidi hujisifia kwa uwizi wake huo kwa kusema ni vijisent mara anamake geza ya nyoka hivyo huchungulia dili la pesa popote lilipo muda anaipata baada mwenyekiti wa Geita kumfata katika uwanja wa Halmashauri...
muda huu wajumbe mbalimbali wanatema cheche kabla ya mkutano kuanza Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti huyo ilizuiliwa kutua bariadi licha ya kuwa na vibali vyote...

Mungu Ibariki Chadema...

Ashukie LAMADI,au Lukarangwa tutamfuata kwa magari yetu,Mawazo tujuavyo kwa kisukuma ni( reasoning), ataenda kuibua hisia tu ambazo zinamsubiri kurudisha kadi za ccm.Bariadi vijiji vyote chadema, chenge mwisho wake umekaribia
 
mkuu npo uwanjan hapa lakini huyu kamanda wa chadema mkoa,kiukwel chadema mmebugi yan ni kopo hana anachokijua kuhusu siasa!!!

Nenda Malaika au Rogmarks wenzsko wanakusubiri hapo yanaongelewa maswala nyeti
 
Ashukie LAMADI,au Lukarangwa tutamfuata kwa magari yetu,Mawazo tujuavyo kwa kisukuma ni( reasoning), ataenda kuibua hisia tu ambazo zinamsubiri kurudisha kadi za ccm.Bariadi vijiji vyote chadema, chenge mwisho wake umekaribia

tupate ka CV pia
 
Nenda Malaika au Rogmarks wenzsko wanakusubiri hapo yanaongelewa maswala nyeti

Nashukuru mkuu ila kwa sababu na ww una akili za kishkaji kama za kiongoz wzko huyo ni haki kunishaur hivo...huyo anapoteza muda wetu bure tu ni bora mngemuacha yule mwnykit wa serenget au yule mama wa bawacha kulko hili kopo linaloongelea unyumba we chenge na polisi kwan ni vitu vnawahusu wao wenyew lkn sisi tunahitaji sera zenye mashko ili tujue jinsi gani ya kujikwamua na umaskin na ujinga hasa kwa kanda hii ya simiyu...
 
Ukimsema chenge vibaya vilaza wasojua chanzo cha ujinga na umaskini wao huumia sana.chadema ni kinywa cha mungu.
 
kila nikikumbuka wale wadada waliogongwa na gari la nyoka mwenye makengeza namuogopa sana.

Ngoja nimkumbushe na hilo kuwa Chenge ni muuwaji aliwauwa hao akinadada...
 
Nashukuru mkuu ila kwa sababu na ww una akili za kishkaji kama za kiongoz wzko huyo ni haki kunishaur hivo...huyo anapoteza muda wetu bure tu ni bora mngemuacha yule mwnykit wa serenget au yule mama wa bawacha kulko hili kopo linaloongelea unyumba we chenge na polisi kwan ni vitu vnawahusu wao wenyew lkn sisi tunahitaji sera zenye mashko ili tujue jinsi gani ya kujikwamua na umaskin na ujinga hasa kwa kanda hii ya simiyu...

.... Hata Kuchagua Mafisadi Ni Ujinga Pia.!
 
nadhani chenge yatosha. ametuibia vya kutosha. anastahili kuwa kule lupango lakini inasikitisha kuendelea kubembea kwenye viti pale bungeni. bila shaka wanabariadi watatutoa kimasomaso mwaka huu kwa kutuondolea huyu fisadi kama walivyofanya wanarombo kwa yule fisadi mwengini aliyetaka tule nyasi ili ndege ya rais inunuliwe.

Back
Top Bottom