Alphard vs Vellfire

Alphard vs Vellfire

Hiyo hapo nilipiga picha hapo maeneo ya Mnazi mmoja(Pugu Road).Hizi gari zipo sana mitaa ya posta especially maeneo yenye Bureau de change...View attachment 983820

#Muungwana_John
Huyu Mnyama nakubali Sana, ngoja niendelee kuzichanga, kwa Mishe za Majini itanifaa Sana kwa furaha ya moto gari kama nyumba vile
 
Back
Top Bottom